The House of Favourite Newspapers

Sisimka na Ushindi Rahisi wa Kasino| Super Heli Unyama ni Mwingi

0

Msisimko wa hali halisi ya ushindi wa kasino unaupata kwa kucheza mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet Super Heli. Mchezo huu unakufanya kujisikia kama upo anagani ukiendesha ndege wakati huo unapiga mkwanja wa maana.

 

Kwa kurusha helikopta angani kisha ikaenda umbali mrefu Zaidi unakuwa unajiongezea odds za ushindi. Mchezo huu wa kasino ya mtandaoni unashabihana na AVIATOR.

 

Mchezo wa Super Heli Kasino ya Mtandaoni unakupa nafasi kubwa Zaidi ya kushinda na kuwa tajiri, cha kwanza dau lake ni kuanzia Tsh 100/= lakini pesa hii ina maajabu kubwa ambayo huwezi kuamini imetajirisha wengi ambao wamechagua kucheza huu mchezo. Jisajili hapa kuwa moja kati ya washindi wa kila siku kwenye Super Heli.

 

Mchanganuo wa Zawadi na Ushindi.

 

Super Heli mchezo wa kasino mtandaoni kutoka kwa Expanse Studios. Katika mchezo huu, utapata bonasi za kasino kubwa. Kuna malipo ya pesa taslimu papo hapo.

 

Wachezaji bora wakati wa promosheni ya Super Heli watapokea zawadi zifuatazo kutoka Meridianbet:

 

        Nafasi ya 1 – Samsung TV inchi 55.
        Nafasi ya 2 – Samsung A24.
        Nafasi ya 3 na ya 4 – TZS 200,000 beti za bure.
        Nafasi ya 5-6 – TZS 100,000 beti za bure.
        Nafasi ya 7-10 – TZS 50,000 beti za bure.

 

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Leave A Reply