The House of Favourite Newspapers

“Siwezi Kumposti GODZILLA, Sio RAFIKI Yangu, UNAFKI Tu” – CHRISTIAN BELLA – VIDEO

Msanii wa muziki wa Dansi nchini, Christian Bella, amesema hawezi kuposti picha ya mwanamuziki Godzilla ambaye amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Bella amesema wakati wa uhai wa Godzilla, hakuwahi kuposti hata wimbo wake au kumsapoti kwa njia yoyote ile hivyo kuposti picha yake leo kwa sababu amefariki dunia huo utakuwa unafki.

Comments are closed.