The House of Favourite Newspapers

Skylight Band wafunika Usiku wa Mameneja Maisha Basement

0

MAISHA BASEMENT (20)Wanamuziki wa Skylight Band wakifanya makamuzi ndani ya Maisha Basement katika Usiku wa Mameneja  wa kuamkia leo.

MAISHA BASEMENT (17) MAISHA BASEMENT (18)Wadau mbalimbali wakiendelea kusakata rumba kutoka kwa Skylight Band.

MAISHA BASEMENT (1)Kiongozi wa Skylight Band, Sam Machozi (kulia) akifanya yake na mwanadada wa bendi hiyo.

MAISHA BASEMENT (4)Meneja wa Burudani wa Maisha Basement, Hemed Kavu ‘ HK’  akiwakaribisha mameneja.

MAISHA BASEMENT (5)…Akichezesha bahati nasibu kumpata mshindi wa Usiku wa Mameneja.

MAISHA BASEMENT (10)Afisa Masoko wa Global Publishers Ltd, Innocent Mafuru (kushoto) na mkuu wa kitengo cha IT wa kampuni hiyo,  Clarence Mulisa, wakionyesha noti zake (Mulisa) mara baada ya kushinda kwenye moja ya bahati nasibu zilizochezeshwa ukumbini hapo.

MAISHA BASEMENT (9)Mulissa akitoa neno la shukrani.

MAISHA BASEMENT (11) MAISHA BASEMENT (12)Burudani ikiendelea.

(PICHA: MUSA MATEJA/GPL)

Leave A Reply