The House of Favourite Newspapers

Spika Awaonya Wabunge CHADEMA – Video

0

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai,  amesema kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Bunge hilo, wabunge 19 wa viti maalumu kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), endapo hawatohudhuria mikutano mitatu ya Bunge, watakuwa wamejifukuzisha ubunge wenyewe.

 

“Kwa hawa wa viti maalumu (CHADEMA), mkutano huu unaoendelea ni wa kwanza, wa Januari ni wa pili na wa Aprili ni wa mwisho kama hawatohudhuria watakuwa wamejifukuza wenyewe kwa mujibu wa katiba,” amesema Ndugai.

 

 

Leave A Reply