The House of Favourite Newspapers

SPOTI HAUSI: Hata Yanga Wakifungwa 10-0, Watabaki Kwenye Michuano ya CAF

 

KATIKA kipindi cha Spoti Hausi leo Alhamisi, Machi 1, 2018 kupitia Global TV Online tunakuletea uchambuzi wa nini Yanga na Simba wanatakiwa kufanya ili kupata matokeo mazuri kwenye michuano ya kimataifa.

 

-Uchambuzi kuhusu timu zilizopo mkiani kwenye Ligi Kuu England

-Kwanini Arsenal watafanya vizuri kwenye mchezo wa leo usiku wa Ligi Kuu England dhidi ya Man City.

Pia kampuni ya simu ya TECNO Mobile Limited ambayo ni mdhamini wa kipindi hiki, itamwaga zawadi za kutosha wakati wa kipindi hicho zikiwemo jezi za Man City, mpira na simu mpya aina ya Tecno Camon CM.

 

Kipindi cha leo si cha kukosa, mkumbushe rafiki yako kutazama kipindi cha SpotiHausi saa 10:00 Subscribe===> Global TV Online

Comments are closed.