The House of Favourite Newspapers

Spoti Hausi: Kutana na Baba Mzazi wa Simon Msuva Leo Saa 10:00 Jioni

0

#SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni
Ni hapahapa #GlobalTVOnline Fanya kuingia hapa www.youtube.com/user/uwazi1

Kipindi cha leo si cha kukosa, mkumbushe rafiki yako kutazama kipindi cha SpotiHausi saa kumi kupitia Global TV Online Baba mzazi wa Simon Msuva amefunguka mazito juu ya historia ya mwanae na familia yake kwa ujumla.

Leave A Reply