The House of Favourite Newspapers

SPOTI HAUSI LIVE: Simba Yamtema Manara, Yanga Yamuacha Ten

 

Kipindi cha Spoti Hausi leo kinakuletea sehemu kubwa ya maandalizi ya michezo ya kimataifa ya Simba na Yanga.

Je, unajua safu ya ulinzi ya Simba itaongozwa na nani keshokutwa?

Je, unafahamu nani karejea kwenye kikosi cha Yanga?

Je, ni kweli kuwa Thabani Kamusoko atacheza mchezo huu?

Je, vipi kuhusu mchezaji bora wa mwezi uliopita Papy Kabamba Tshishimbi? Nini kimetokea kwake? Fuatilia kipindi hiki leo Alhamisi, Machi 15, 2018 jioni pia utafahamu ufahamu pia kile kilichowakumba maofisa habari wa Simba na Yanga, Haji Manara na Dismas Ten.

Pia mshindi wa Shindano la #BeatsbyDre kutoka Gazeti la #SpotiXtra linalotoka kila Jumapili atapatikana leo kwenye Kipindi cha #SpotiHausi SAA 10:00 jioni kupitia #GlobalTVOnline.

Comments are closed.