The House of Favourite Newspapers

Spoti Hausi: Masau Bwire wa Ruvu Shooting Ataja Bingwa, Leo Saa 10:00 Jioni

 

Kikosi cha timu ya Simba SC.

Karibu katika kipindi cha Spoti Hausi cha Global tv Online ambacho leo wachambuzi wako watakuwa na msemaji wa Ruvu Shooting, Masau Bwire ambaye atachambua mambo mbalimbali, ikiwemo nafasi ya timu yake kwenye Ligi Kuu Bara, kasi ya Simba kwenye ubingwa wa msimu huu, kwanini timu yake haifungi mabao lakini pia inafungwa mabao mengi.

#SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni
Ni hapahapa #GlobalTVOnline Fanya kuingia hapa www.youtube.com/user/uwazi1

Comments are closed.