The House of Favourite Newspapers

SPOTI HAUSI: SIMBA Izuie Mechi za YANGA Ligi Kuu – VIDEO

KIPINDI cha Spoti Hausi leo tena kipo hewani ambapo wachambuzi wako watakuchambulia mambo mengi ikiwemo ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara na hatari kwa Simba.

Pia watachambua mchezo wa Simba na Vita ya Congo utakaopigwa kesho na mambo mengine mengi, usikose kuanzia saa kumi kamili.

Comments are closed.