The House of Favourite Newspapers

SPOTI HAUSI: SINGIDA UNITED- Kocha Wetu Haendi Yanga, Azam FC

KATIKA Kipindi cha Spoti Hausi leo tunajadili kuhusu mafanikio na mipango ya Klabu ya Soka ya Singida United, ambapo tutakuwa na meneja wa timu hiyo, Ibrahim Mohammed Said.

Anaweka wazi kuhusu tetesi za kocha wao Han van Der Pluijm kwenda Yanga pia Azam FC ambapo anatajwa kwenda kuzifundisha timu hizo.

Comments are closed.