The House of Favourite Newspapers

SPOTI HAUSI: UCHAMBUZI MECHI LIGI KUU BARA

SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi, Tazama wachambuzi wa kipindi hiki, watakuchambulia yafuatayo:-

-Watachambua mechi za Simba dhidi ya Kagera Sugar na Singida United.

-Watachambua mwenendo wa timu ya Yanga Ligi Kuu Bara.

 

Comments are closed.