The House of Favourite Newspapers

SpotiHausi Live: Chuji Afunguka Alivyoipandisha Coastal VPL

-Kupitia SpotiHausi  leo Alhamisi, kiungo wa zamani wa Yanga, Athuman Idd ‘Chuji’ ambaye kwa sasa anakipiga katika Klabu ya Coastal Union ya Tanga. Amefunguka  alivyoipandisha Coastal hadi kurudi tena katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu ujao.

-Chuji ameweka wazi kuwa, ingekuwa uamuzi wake, mpaka sasa mshambuliaji wa Yanga, raia wa Zimbabwe, Donald Ngoma, angekuwa keshaondoka klabuni hapo.

Pia kampuni ya simu ya TECNO Mobile Limited ambayo ni mdhamini wa kipindi hiki, itamwaga zawadi za kutosha wakati wa kipindi hicho zikiwemo jezi za Man City, mpira na simu mpya aina ya Tecno Camon CM.

Kipindi cha leo si cha kukosa, mkumbushe rafiki yako kutazama kipindi cha SpotiHausi kupitia ===> Global TV Online

 

Comments are closed.