The House of Favourite Newspapers

Star Times yajivunia maboresho ya huduma zake kwa wateja

0

1Meneja wa Star Times Tanzania Bw,Gaspa Ngowi akizungumza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo (pichani)

2 Balozi wa Star Time Shafii Dauda,akizungumza jambo.

3Shafii Dauda,akisisitiza jambo

4Bw.Ngowi akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari.

5.Baadhi ya zawadi za wateja wa king’amuzi hicho.

Kampuni inayotoa matangazo ya luninga kwa digital nchini Star Times imesema kuwa imepiga hatua kubwa katika maboresho ya huduma zake kwa wateja wake mbalimbali hapa nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari hapa nchni mwishoni mwa wiki hii,Makamu wa Rais wa Star Times Tanzania,Bi Zuhura Hanif,amebainisha kuwa wiki hii hutoa fursa ya kipekee ya kupima huduma wanazotoa kwa wateja na namna ya kuzifanyia kazi.

(PICHA/HABARI: IMELDA MTEMA/GPL)

Leave A Reply