The House of Favourite Newspapers

Starline Films Mkombozi Wa Video Na Audio Bora

Mgeni rasmi (kushoto) akigonga chiazzz na Meneja Mkuu wa kampuni hiyo, Silva Odo (katikati) na dada anayefanya kazi kwenye kampuni hiyo.

 

KAMPUNI ya Starline Films ambayo inatarajiwa kuwa mkombozi wanamuziki, wasanii wa filamu, waandaaji matangazo na wengineo kwa kazi za video na audio bora baada ya kuzinduliwa kampuni hiyo iliyopo Mikocheni B, jijini Dar.

Uzinduzi huo ulifanyika Ijumaa iliyopita ambapo Mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa Bodi ya Filamu nchini, Joyce Fisoo aliyemuwakilisha Naibu Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo.

Katika hafla ya uzinduzi huo wasanii wa filamu, waandaaji na wanamuziki walihudhuria.

Sehemu ya wageni waalikwa waliokuwa wakifuatilia tukio hilo.
Msanii mkongwe katika tasnia ya Bongo Muvi, Suzan Lewis ‘Natasha’ akiwa kwenye picha ya pamoja na wasanii chipukizi wanaofanyakazi na kampuni hiyo.
Msanii wa Bongo Muvi kushoto akiwa na Mzee Chillo (katikati) na Mtayarishaji wa video na audio wa pilipili Entertainment, Nilesh Nilesh na mdada huyu wakibadilishana mawazo.
Mzee Chillo (kulia) na Chausiku Lukinga wakibadilishana mawazo na mgeni rasmi.
Dude akihojiwa na msanii wa vichekesho, JK Comedian.
Mgeni rasmi akiwa na baadhin ya wafanyakazi wa Starline Films baada ya kuizindua kampuni hiyo.

HABARI/PICHA: RICHARD BUKOS / GPL

Ukweli wa Harmonize kukutana na T.I Marekani

Comments are closed.