The House of Favourite Newspapers

Steve Nyerere: Dudu Baya Aombe MSAMAHA au Atengwe – Video

Muigizaji nguli wa filamu nchini, Steve Nyerere, amesema kama kuna msanii anamzungumzia vibaya marehemu Ruge Mutahaba kwa sasa jkama anavyofanya Rapa Dudu Baya basi anapaswa kutengwa kwani hakuna binadamu aliye mkamilifu.

Steve amesema Ruge amefungua milango kwa vijana wengi na kutoa fursa waweze kufanikiwa huku akiweka wazi kuwa atamkumbuka milele.

Comments are closed.