×

Tag: ajali

Ajali Mbaya: Basi Lenye Abiria Lateketea

  ABIRIA waliokuwa wakisafiri na basi la kampuni ya Tahmeed wamenusurika kupoteza maisha baada ya basi hilo aina ya Yutong kuteketea moto leo mchana...

READ MORE

Mwanza: Ajali ya Basi Yaua na Kujeruhi

WATU wawili wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria kampuni ya Mkombozi kugongana uso kwa uso...

READ MORE

MBEYA: Askari 2 Wafariki kwa Ajari, 9 Wajeruhiwa

IYUNGA, MBEYA: Askari wawili wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Kutiliza Gjasi (FFU) wamefariki na wengine tisa kujeruhiwa baada ya...

READ MORE

KAGERA: Ajali ya Gari Yaua 11 na Kujeruhi Watano

AJALI mbaya ya gari dogo aina ya Nissan Caravan (Hiace) lenye namba za usajili T 542 DKE ambalo limegonga magari...

READ MORE

Breaking News: Moto Waibuka Jengo la Benki Kuu Mwanza

Moto umezuka katika jengo la Benki Kuu jijini Mwanza leo Alhamisi, Januari 11, 2018 asubuhi. Chanzo cha moto huo kinaelezwa...

READ MORE

Sharobaro Akatwa Vipande 2 Na Treni!

INATISHA! Kijana mmoja maarufu kwa jina la Sharobaro mjini hapa, aliyekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20, ameuchapa usingizi chini...

READ MORE

Breakings: Mwenyekiti wa CCM Mkoa Apata Ajali na Familia Yake

AJALI: Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Juma Kilimba amepata ajali ya gari lake kupinduka leo akiwa na familia yake,...

READ MORE

Basi la Abiria Likiendeshwa na Kijana wa Miaka 16 Latumbukia Mtoni na Kuua 32

Basi lililokua na abiria 50 nchini India limeanguka katika daraja moja na kuwaua takriban watu 32 lilipoingia katika maji Kaskazini...

READ MORE

Watano Wafa ajalini Kwa Sadala-Kilimanjaro

Muda mfupi uliopita kumetokea ajali mbaya eneo la Kikavu -Kwa Sadala wilayani Hai, Kilimanjaro baada ya gari la maji ya...

READ MORE

Ndege Yaanguka Serengeti, Watalii, Rubani Wajeruhiwa

NDEGE  iliyoikuwa imebeba watalii kumi na rubani mmoja jana Jumatano, Oktoba 25,2017 ilianguka kujeruhi watalii wawili na rubani wakati ikitua...

READ MORE

Inauma Sana! Familia Yapukutika Ajalini Wakitoka Kwenye Harusi

WATU saba wamefariki papo hapo na wengine 14 kujeruhiwa, baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Noah kugongwa na lori...

READ MORE

Moshi: Kiongozi Chadema Apata Ajali Mbaya ya Gari

KATIBU Mwenezi wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), Edward Simbeye amepata ajali ya gari. Simbeye...

READ MORE

JPM Ashtushwa na Vifo vya Watu 12 Ziwa Victoria

Rais Magufuli ametumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela kufuatia vifo vya watu 12. Rais Magufuli...

READ MORE

Mwanza: Wanane Wafariki Baada ya Hiace Kutumbukia Ziwa Victoria – Video

WATU nane wamekufa na wawili wameokolewa wakiwa salama baada ya Toyota Hiace kutumbukia Ziwa Victoria katika kivuko cha Kigongo Feri...

READ MORE

Ghala la Matairi Kampuniu ya Superdoll Lateketea kwa Moto – VIDEO

Ghala la matairi ya magari la kampuni ya Superdoll lililopo Barabara ya Nyerere limeugua kwa moto.   Ghala hilo lililopo...

READ MORE

Lori la Mahindi Lilivyopinduka na Kuua 15, Rukwa

WATU 15 wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa baada ya lori walilokuwa wakisafiria kupinduka eneo la Ntembwa ndani ya Hifadhi...

READ MORE

Arusha: Moto Wateketeza Nyumba za Familia 13 za Polisi

FAMILIA 13 zenye watu 44 zimeathiriwa kwa moto ulioibuka kwenye nyumba wanazoishi askari polisi katika Kata ya Sekei mkoani Arusha...

READ MORE

Dereva Azirai Gari Likiwa Mwendokasi, 21 Wanusurika Kifo

MTALII wa Ufaransa amepongezwa baada ya kunusru vifo vya watu zaidi ya 21 waliotaka kufa ajalini nchini Australia. Mtalii huyo alikuchukua...

READ MORE

Aliyenusurika Ajali Iliyoua Watanzania 13 Uganda Afunguka -Video

KUFUATIA ajali mbaya ya Lori aina ya Fuso na basi aina ya Coaster kugongana nchini Uganda na kusababisha vifo vya...

READ MORE

Miili ya Ndugu 13 Waliofariki kwa Ajali Uganda Ilivyoagwa Dar (Pichaz)

SIMANZI, vivlio na majozni imetawala wakati wa kuaga miili ya Watanzania 13 ambao ni ndugu wa familia moja waliofariki kwenye...

READ MORE

Rais Magufuli Aomboleza Vifo vya Watanzania 13 Uganda

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi aliyewahi kuwa Naibu Waziri...

READ MORE

Watanzania 13 Wafariki kwa Ajali Uganda

WATANZANIA 13 wamefariki na wengine nane kujeruhiwa katika ajali iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika eneo la biashara Lubanda takribani...

READ MORE

Mabasi Mwendo Kasi Yagongana, Yasababisha Foleni Shekilango

ASUBUHI ya leo katika eneo la makutano ya barabara za Morogoro Shekilango jijini Dar es Salaam, palikuwa na foleni ndefu...

READ MORE

MC Pilipili Apata Ajali Mbaya ya Gari (Video)

MCHEKESHAJI maarufu nchini, Emmanuel Matebe Mathias ‘MC Pilipili’ amepata ajali mbaya ya gari katikati ya Kijiji cha Nyasamba na Bubiki...

READ MORE

Arusha: Miili ya Watoto Wawili Yaopolewa Shimoni

SAKATA la kutekwa kwa watoto wawili jijini hapa limechukua sura mpya baada ya jana miili miwili ya watoto kuopolewa shimoni...

READ MORE

BREAKING NEWS: Viongozi Wanne wa CUF Wamefariki Kwenye

VIONGOZI wanne wa Chama cha Wananchi (CUF) wanaomuunga mkono mwenyekiti wa chama hicho anayetambulika na Msajili wa Vyama, Prof. Ibrahim...

READ MORE

TANZIA: KADA MAARUFU CCM AFARIKI DUNIA KWA AJALI

  Aliyekuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 alichukua fomu ya kugombea Ubunge wa...

READ MORE

Ajali ya Treni na Coaster Morogoro, Mganga Mkuu Anena

IKIWA imepita takribani miezi mitatu tangu wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent ya Mkoani Arusha wapate ajali na watu 35...

READ MORE

Breaking News: Ajali ya Treni na Coaster Yaua Wanafunzi Morogoro

MWANAFUNZI mmoja amefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia ajali mbaya ya basi la abiria aina ya Coaster lililobeba wanafunzi...

READ MORE

Ajali ya Basi, Lori na Trekta Yaua Kwimba, Mwanza

WATU ambao idadi yao bado haijafahamika wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya basi la Frester, lori na trekta lilolokuwa...

READ MORE

VIDEO: Trafiki, Bongo Movie na Bongo Fleva Sasa Nguvu Moja Kutokomeza Ajali

  WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani imeamua kuunganisha nguvu na wasanii hapa nchini...

READ MORE

Basi la Sharon Lapinduka, Wawili Wafariki Dunia

WATU wawili wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya basi mali ya Kampuni ya Sharon lililokuwa litatoka Dodoma kwenda Arusha,...

READ MORE

Breaking News: Moto Umezuka Uwanja wa Ndege wa Songwe Mbeya

Moto mkubwa umezuka katika Uwanja wa Ndege wa Songwe jijini Mbeya leo Julai 29, 2017 majira ya mchana na kuzua...

READ MORE

SHINYANGA: Mtoto Afariki kwa Kukanyagwa na Gari

Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, mtoto wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa mwaka mmoja amefariki dunia papo hapo...

READ MORE

Wawili Wafariki kwa Ajali ya Daladala Kugonga Treni, Dar

  Watu wawili wamekufa na wengine 36 kujeruhiwa katika  ajali iliyotokea leo asubuhi ikihusisha gari ya abiria aina ya coaster...

READ MORE

Mashabiki 8 Wafariki Uwanja wa Soka Senegal

Watu wanane wamefariki dunia baada ya kukanyagana walipokuwa wakishuhudia michuano ya ligi ya soka nchini Senegal. Waziri wa Michezo wa...

READ MORE

#BreakingNews: Basi Laua Wawili na Kujeruhi 8 – Mbalari, Mbeya

  MBALARI, MBEYA: Watu wawili wamefariki dunia na wengine wanane kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria la kampuni ya Upendo...

READ MORE

Mashua Yazama Colombia 6 Wafariki Dunia, 16 Hawajulikani Waliko

  Idara ya polisi nchini Colombia, imesema kuwa yamkini watu 6 wamefariki ika ajali ya kuzama kwa boti moja la...

READ MORE