Kutana na Binadamu wa Kwanza Kuuza Maisha Yake kama Biashara
MIKE Merrill ndiye mtu pekee duniani anayeuzwa hadharani. Tangu 2008, maisha yake yameelekezwa kwa wanahisa wake, ambao wamenunua hisa ndani yake na kupiga kura juu ya mustakabali wake katika maisha yake kiujumla.
kwenye…