×

Tag: Celebrities

Chemical asisitiza kujioa mwenyewe!

RAPA matata Bongo, Claudia Lubalo ‘Chemical’ amesema kuwa ahadi yake aliyojiwekea ya kujioa ipo palepale na anaweza kujioa hata mara...

READ MORE

Nora Asimulia Alivyochoma Moto Vimini

KWELI mambo hubadilika! Umemsikia mwigizaji wa kitambo kwenye tamthiliya za Kibongo, Nuru Nassoro ‘Nora’? Nora ameliambia Amani kuwa, aliwahi kuchoma...

READ MORE

Aaunty Lulu Adai Ameacha Uwaluwalu

MWANADADA aliyewahi kuwa mwigizaji na mtangazaji kwenye vituo mbalimbali vya redio na televisheni Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amesema kama...

READ MORE

Warembo wanaowabana wanaume kimataifa!

MIAKA ya nyuma kidogo ilikuwa ni vigumu kidogo kuona wasanii wa kike wakivuka mipaka ya nchi zaidi wasanii wa kiume,...

READ MORE

LYYN AMPASUA KICHWA TANASHA

KITENDO cha video vixen (muuza sura) ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, Irene Louis ‘Official Lyyn’ kuonekana na mwanamuziki Nasibu...

READ MORE

Wolper akimbilia Arusha

PAMOJA na Jiji la Dar kuwa na fursa nyingi na burudani kama zote, lakini kwa staa wa filamu za Kibongo,...

READ MORE

NANDY ANAVYOUA ‘UFALME’ WA JIDE KIMYAKIMYA!

FAUSTINA Charles Mfi nanga ‘Nandy’ ni binti mdogo, ambaye kwa sasa Kibongobongo anaporomosha ngoma kama zote, anaimba kwa sauti ya...

READ MORE

Kajala yupo tayari kuuza kila kitu, kisa Paula

STAA wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja amesema kuwa atamsomesha mtoto wake, Paula Paul hadi mwenyewe aseme basi na hata...

READ MORE

Kufuru Maisha Ya Tiffah Sauz

DAR: KUNA watu kwenye hii dunia wamezaliwa ili waitafune! Mtoto wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Tiffah, ni miongoni mwa viumbe...

READ MORE

Penzi la Esma, Petit la mwendokasi

WANANZENGO wanasema eti wanandoa walioachana na kisha kurudiana, Esma na Petit safari hii penzi lao limekuwa na kasi kama ya...

READ MORE

Makabila: Aslya ndiye aliyebadili maisha yangu!

MKALI wa Muziki wa Singeli anayetamba na ngoma yake mpya ya Motoni Kumedamshi, Abdallah Ahmed ‘Dulla Makabila’ amesema moja kati...

READ MORE

Sanchi kupandikiza pacha mwezi ujao

MREMBO mwenye umbo mtikisiko, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amesema mwezi ujao ndio anatarajia kwenda kupandikiza pacha watatu nchini Afrika Kusini.  Akichonga...

READ MORE

Wellu: Sina bifu na Steve

  MSANII wa filamu Bongo,Wellu Sengo ambaye ni mzazi mwenzake na Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ameeleza kuwa licha ya kuachana...

READ MORE

Ruby Alia Kutupiwa Vitu Nje, Aomba Msaada wa Wanasheria

AMA kweli penzi likiisha ni kama shubiri! Mwanamuziki mahiri wa Bongo Fleva, Hellen George ‘Ruby’ amesema kuwa, mwanaume ambaye alimpenda...

READ MORE

Jaden amenitamanisha mtoto mwingine

  ULISHAWAHI kusikia mtu anaambiwa ni ‘sitaki nataka’. Basi ni kama muigizaji Chuchu Hans ambaye ni mzazi mwenzake na muigizaji...

READ MORE

Diamond Mfalme Mpya Afrika

HUYU ndiye mfalme mpya Afrika! Hizo ndizo kauli za watu wengi walioitazama shoo ya mtoto wa Tandale, Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

INFINIX YAZINDUA INFINIX S5 KWA KISHINDO

Kampuni ya Infinix imezindua rasmi simu kali, toleo jipya aina ya Infinix S5. Uzinduzi huo umefanyika mapema leo katika Duka...

READ MORE

Dada’ke Mondi Afichua Siri Tanasha Kutoolewa

  MWANAMAMA kunako Bongo Fleva, Mwanahawa Abdul Jumaa almaarufu Queen Darleen ambaye ni dada wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’...

READ MORE

SANCH AKIKAZA KIDOGO TU, KINA VERA HAWAMPATI!

VERA ni mrembo maarufu runingani, mitandaoni (sosholaiti), video vixen (muuza sura kwenye video za muziki) na mjasiriamali wa Kenya anayetajwa...

READ MORE

Jay: Tusionane Wabaya!

MKONGWE kunako Bongo Fleva na Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule ‘Jay’ amesema hakuna sababu ya wasanii kuonana wabaya, badala yake...

READ MORE

Pretty:Tungemjua Mungu, Bongo Muvi isingekufa!

MWIGIZAJI wa filamu za Kibongo, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ amesema, kama waigizaji wa Bongo Muvi wangemjua Mungu, basi hata filamu...

READ MORE

Shamsa: Gabo ananipatia

MREMBO kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford amefunguka kuwa, anapenda kuigiza na mwigizaji Ahmed Salim ‘Gabo Zigamba’ kwa sababu ni msanii...

READ MORE

 Poshy ahofia kuvunja ndoa za watu

AMA kweli siku hizi mastaa wameelimika, mrembo mwenye kusumbua jiji kutokana na umbo lake, Jacqueline Obeid ‘Poshy Queen’ amesema anamuomba...

READ MORE

Gigy amtupia dongo Amber lulu

  GIGY Money siyo wa mchezomchezo, wakati Insta yote ikiamini kwamba yeye na Amber Lulu ni mashoga, juzi amemgeuka rafi...

READ MORE

TUNDA: BETRI YANGU ILIZIMA, NAJICHAJI

DUNIANI kuna vituko! Video queen maarufu Bongo, Anna Kimario ‘Tunda’ ametoa kali ya mwaka kwamba ukimya wake unatokana na betri...

READ MORE

T-Bway: Siwezi kumuacha Kim Nana

KUTOKANA na habari kuzagaa kwamba wamemwagana, mtangazaji wa Kipindi cha 5select kinachorushwa na runinga ya East Afrika, T-Bway ameibuka na...

READ MORE

Wema aongeza nguvu kumzima Mondi!

MAMBO yamezidi kuwa moto! Lile bifu kati ya mastaa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, Rajab Abdul ‘Harmonize’...

READ MORE

Harmo Amvimbia Mondi

NI ngadu kwa ngadu au niga nikunige! Hicho ndicho kinachotokea kwa sasa baina ya mastaa wawili wa Bongo Fleva, Rajab...

READ MORE

Siri Vurugu za Risasi Kwa Aunt, Iyobo

KWA wale wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii, sakata la vurugu zilizoambatana na mirindimo ya risasi kwenye pub (baa) ya staa...

READ MORE

Petit, mkewe wamwagana!

KAMA ulikuwa unasikiasikia tu bila kuwa na uhakika, habari ikufikie ni rasmi sasa, meneja wa wasanii, Ahmed Ngahemela ‘Petit Man’...

READ MORE

Harmo sasa ataka watoto kwa Sarah

MKALI wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’, sasa yupo tayari kuitwa baba. Harmonize au Harmo anayekimbiza na Wimbo wa Uno...

READ MORE

Rosa Ree: Naombeni mnisamehe!

MWANAMUZIKI wa kike wa Hipo Hop Bongo, Rosa Ree na ambaye inasemekana na mpenzi wa msanii wa Kenya, Timmy Tdat...

READ MORE

ZARI ADAI ETI KINGBAE AMEKUFA!

INADAIWA mitandaoni kwamba, kati ya wanawake wanaojua kupaniki, basi mwanamama Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ anaweza kuwa kwenye kumi...

READ MORE

Gigy Jiwe Lililokataliwa!

MSANII machachari kwenye Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amesema wakati anatoka kimuziki, watu wengi walimdharau na kumuona hafai, lakini...

READ MORE

 Fela: Wadau njaa walinigombanisha na nature!

HUWEZI kuizung-umzia historia ya muziki wa Bongo Fleva bila kutambua mchango wa Said Fela. Ni mdau wa muziki huu tangu...

READ MORE

Serikali Yatoa Tamko Bifu la Kiba, Mondi

BAADA ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ kumwambia mwenzake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amkome na kukoleza...

READ MORE

UBONGE WA SHILOLE WASHTUA!

KILA mtu na aina yakeya maisha, lakini huko Instagram wapo watu wanakupangia hadi mwili wako uweje. Hiyo imemtokea staa wa...

READ MORE

MPENZI WA BABY J AMCHANA ESMA!

MAPENZI bwana, kweli ni upepo wa Kisulisuli! Mzazi mwenziye na mwanamuziki maarufu visiwani Zanzibar, Jamila Abdalah ‘Baby J’, Abood amemtaka...

READ MORE

PUB YA AUNT YAMLIZA WEMA!

WEMA Sepetu amesema hakuna kitu kilichomuuma na kumkosesha usingizi kama kufungwa kwa Pub ya rafiki yake, Aunt Ezekiel.  Akizungumza na...

READ MORE

 Jux: Amethubutu, ameweza

WEKA pembeni uhusiano wake na yule ‘Mchina’ mwenye asili ya Thailand, Nayika Thongom, kwa sasa Juma Musa ‘Jux’ ndiye habari...

READ MORE