×

Tag: CHADEMA

Kesi ya Vijana 7 wa Chadema ya Ukusanyaji Matokeo ya Uchaguzi 2015 Yafutwa

DAR ES SALAAM: Kesi ya ukusanyaji matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 iliyokuwa ikiwakabili vijana saba wa Chama Cha...

READ MORE

Chadema Wafanya Uchaguzi wa Wajumbe 5 wa Kamati Kuu ya Chama

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Kwa mujibu wa Katiba ya Chama, Ibara...

READ MORE

Umeya Kinondoni: Chadema Wafungua Kesi Mahakamani Wakidai Uchaguzi Haukuwa Halali

Viongozi  wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wamekimbilia mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi wa umeya na naibu meya wa...

READ MORE

Baada ya Uchaguzi wa Umeya Kuvunjika, Chadema Kwenda Mahakamani Kudai Haki

“CHADEMA ilianzisha Operesheni Umoja wa Kupambana Udikteta Tanzania (UKUTA), hatuwezi kukaa kimya tena, Nyerere alikataza Vijana kuwa wanyonge na waoga,...

READ MORE

Diwani wa Chadema Temeke afukuzwa uanachama kwa tuhuma za rushwa

  September 19, 2016 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA jimbo la Temeke kimemfukuza uanachama Diwani na Mwenyekiti wake kutoka...

READ MORE

Wazee Wahofia Chadema Kuhujumiwa

BARAZA la Wazee la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) limesema lina hofu ya kuhujumiwa chama chao kupitia kwa ofisi...

READ MORE

Chadema Wasitisha Maandamano ya UKUTA

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kisitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike nchi nzima kesho Septemba Mosi yaliyopewa jina la UKUTA....

READ MORE

Isaya Mwita wa Chadema ndiye Meya wa Dar

Meya Mteule wa jiji la Dar es salaam  Issaya Mwita Chalres kutoka kata ya vijimbwweni (UKAWA) Fomu ya uthibitisho wa...

READ MORE

Mjue Katibu Mkuu mpya wa Chadema!

Katibu Mkuu mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Vicent Mashinji, akizungumza na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa...

READ MORE

Chadema Yashinda Umeya Ilala-Dar

Meya Mteule wa Ilala, Charles Kuyoka (Chadema) akiongea baada ya kushinda (aliyesimama wa pili kushoto).Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe...

READ MORE

Chadema watuma salamu za rambirambi kifo cha Leticia Nyerere

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI SALAAM ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA LETICIA NYERERE Tumepokea kwa...

READ MORE

Breaking News: Chadema washinda kesi ya Mawazo

Alphonce Mawazo enzi za uhai wake. HATIMAYE Mahakama Kuu jijini Mwanza imetoa hukumu ambapo Chadema na familia ya Mwenyekiti wa...

READ MORE