×

Tag: CHADEMA

Breaking: Kisa Tundu Lissu, Kubenea Ajitoa Kugombea Chadema

KAMATI  ya Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo Jumatatu, Desemba 16, 2019, imetangaza majina ya waliopitishwa kugombea...

READ MORE

Mch Msigwa Asema Hajui Akwilina Aliuawa Lini

MBUNGE wa Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mchungaji, Peter Msigwa amesema kuwa taarifa za kifo cha...

READ MORE

Nyalandu Atusua Uchaguzi Chadema

ALIYEKUWA Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema, Kanda ya Kati kwa kupata kura 60...

READ MORE

Mbowe Arejesha Fomu Chadema, Lissu Naye Achukua

MWANASHERIA Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema atagombea Makamu Mwenyekiti wa chama hicho katika Uchaguzi unaoendelea kufanyika hivi sasa ndani...

READ MORE

Madiwani Watano CHADEMA Wajiuzulu, Watimkia CCM

MKURUGENZI wa Jiji la Arusha, Dk Maulid Madeni amesema amepokea barua za kujiuzulu za madiwani watano wa Chadema Jiji la...

READ MORE

Sumaye Apigwa Chini Chadema, Huenda ‘Akakacha’

ALIYEKUWA mgombea pekee wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendleo (Chadema) Kanda ya Pwani, Frederick Sumaye,  ameshindwa...

READ MORE

Aliyepania Kumng’oa Mbowe Uenyekiti Chadema Afunguka – Video

Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe(Chadema), ametangaza azma ya kutaka kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

READ MORE

Vijana Chadema Wamchukulia Fomu Mbowe – Video

VIJANA ambao ni wafuasi na wakereketwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamemchukulia fomu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa,...

READ MORE

Nyalandu Apitishwa Kugombea Chadema

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza wagombea mbalimbali wa uchaguzi ndani ya chama hicho ngazi ya kanda ambao wameteuliwa...

READ MORE

Mgombea Ujumbe Serikali ya Mtaa Adaiwa Kuuawa

ALIYEKUWA mgombea wa Ujumbe wa Serikali ya Mtaa wa Mnara wa Voda jijini Arusha, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia...

READ MORE

Dhamana: Mdee, Bulaya, Msigwa, Heche Wapeta Kortini – Video

MAHAKAMA ya ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Novemba 20, 2019 imetoa uamuzi kuwa wabunge wanne wa Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

Mdee, Heche, Bulaya, Msigwa Mahabusu, Hatima Yao Kujulikana Kesho

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga kesho Jumatano Novemba 20, 2019 kutoa uamuzi dhidi ya wabunge wanne wa Chadema waliokiuka...

READ MORE

Heche, Msigwa, Bulaya & Mdee Watolewa Kortini, Wapelekwa Polisi – Video

KUFUATIA Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wiki iliyopita kuamuru wabunge wanne wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakamatwe na...

READ MORE

Shigongo Amrejesha CCM Mwenyekiti wa Chadema – Video

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kupata pigo baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Jimbo la Buchosa, Jaji...

READ MORE

Halima Mdee Ashikiliwa na Polisi Oyster Bay

MBUNGE  wa Kawe (Chadema), Halima Mdee, anashikiliwa na polisi katika kituo cha Oyster Bay, kufuatia agizo la Mahakama ya Kisutu...

READ MORE

Mahakama Yaamuru Heche, Msigwa, Bulaya, Mdee Wakamatwe

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru wabunge wanne wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakamatwe na kufikishwa mahakamani hapo...

READ MORE

Mbowe: Mashtaka Yetu ni ya Kisiasa – Video

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa mashtaka yanayowakabili ni...

READ MORE

Mbowe: Chadema Tumejitoa, Hatutashiriki Uchaguzi- Video

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kujitoa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika November 24, mwaka huu....

READ MORE

Aussems achekelea kucheza na Mbeya City Taifa

ALIYEKUWA Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buyungu, mkoani Kigoma kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Elia Michael...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Wapewa Siku 14 Kuanza Kujitetea

LEO Jumatatu, Oktoba 21, 2019, viongozi 9 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho,...

READ MORE

Ombi la Mbowe, Wenzake Lakataliwa Kortini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya upande wa utetezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo...

READ MORE

Kesi ya Vigogo Chadema, Wakili wa Serikali Acharuka

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa siku moja kwa mawakili wa pande zote mbili katika kesi inayowakabili vigogo wa Chama...

READ MORE

Mbowe: Hatutasusia Uchaguzi – Video

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema hawatasusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 na kuwataka viongozi, wanachama...

READ MORE

Bulaya Augua, Kesi ya Kina Mbowe Yakwama – Pichaz

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kuanza kusikiliza utetezi wa viongozi tisa wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA )...

READ MORE

Chadema Yapata Pigo Tena

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepata pigo jingine baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Njombe Edwin...

READ MORE

Uchaguzi Nafasi ya Mbowe, Msajili Aipa Chadema Siku 7

MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini amekiandika barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akikitaka kutoa maelezo kwa nini kisichukuliwe...

READ MORE

Chadema Kwenda na Majeruhi wa Risasi Mahakamani

UPANDE utetezi kwenye kesi ya uchochezi namba 112/2018, inayowakabili viongozi tisa wa Chadema, leo Septemba 24, 2019 umesema umepanga kwenda...

READ MORE

HAI: Mbunge Chadema na Wenzake Watatu Watiwa Mbaroni

Mkuu wa wilaya ya Hai, Mhe. Lengai Ole Sabaya ameagiza viongozi wanne wa CHADEMA mkoani Kilimanjaro akiwemo Mbunge wa Viti...

READ MORE

Mbowe, Wenzake Washindwa Kujitetea Mahakamani

VIONGOZI tisa wa Chama chas Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwemo Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, wameshindwa kuanza kujitetea katika kesi ya...

READ MORE

Kesi ya Mbowe, Wenzake: Ushahidi wa Video Kutolewa Mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeridhia kuonyeshwa video inayodaiwa kubeba matukio yanayomhusisha Mwenyekiti wa Chama cha...

READ MORE

Wazee wa Chadema Wampongeza JPM, Wamuomba Hiki… – Video

Baraza la Wazee (CHADEMA), kupitia kwa Mwenyekiti wake, Mwenyekiti wa Baraza hilo, Hashim Juma Issa limeweka wazi kuwa Tume huru...

READ MORE

Polisi Yasitisha Mkutano wa Chadema Morogoro Kesho

JESHI  la Polisi Wilaya ya Morogoro limezuia mkutano wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) uliokuwa unatarajiwa kufanyika ...

READ MORE

CHADEMA Walipuka TENA “NEC Wanavuruga Uchaguzi” – Video

Kufuatia barua iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) juzi Juni 6, kuhusu kusitisha ajira za muda kwa watumishi...

READ MORE

Mwenyekiti Bavicha Akamatwa na Polisi

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), Patrick Ole Sosopi pamoja na wenzake wawili wamekamatwa...

READ MORE

Nyalandu: Chadema Inabeba Majimbo Yote Singida

Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Lazaro Nyalandu, amedai kuwa mwaka 2020, chama hicho kitarejesha majimbo yote ya...

READ MORE

INATISHA! KADA CHADEMA AUAWA NA MKEWE NA BINTIYE! – VIDEO

  TUKIO ambalo ni gumzo katika Mji wa Morogoro maeneo ya Chamwino ni la mauaji ya kada wa Chama cha...

READ MORE