×

Tag: CORONA

Walioambukizwa Corona Tanzania Wafikia 19

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu,  amesema wagonjwa wa corona nchini Tanzania wamefikia 19, baada ya watano kuongezeka leo Jumatatu Machi...

READ MORE

Maeneo 5 Hatari kwa Corona Bongo Yaanikwa

WAKATI nchi mbalimbali duniani zikiimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 unaonezwa na virusi vya Corona, RISASI Jumamosi linakuchambulia maeneo...

READ MORE

Nunua na soma Gazeti la Championi na IJumaaWikiEnda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la IJumaaWikiEnda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Apokea Misaada ya Bil 1.185 Kukabiliana na Corona

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea msaada wa fedha pamoja na vitu mbali mbali kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa...

READ MORE

Wachezaji wa Barcelona Kukatwa Mishahara Kisa Corona

WACHEZAJI wa Klabu ya Barcelona wanadaiwa kuwa katika mvutano na Bodi ya timu hiyo kufuatia pendekezo la Bodi kutaka kuwakata...

READ MORE

RC Mwanri Ataka Wananchi Kususia Maduka Yasiyo na Sanitizer – Video

MKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametoa wito kwa wakazi wa Mkoa huo kutoa taarifa za wageni wasiofahamika walikopotoka...

READ MORE

Marekani Yawataka Wananchi Wake Walioko TZ Warejee U.S

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa wito kwa raia wake kurejea Marekani, kufuatia uwepo wa maambukizi ya virusi vya #COVID19.   ...

READ MORE

Marekani: Waathirika wa Corona Virus Wafikia 104,256

MAREKANI imeendelea kuongoza kwa idadi kubwa ya kasi ya maambukizi ya virusi vya corona ambapo wamefikia  104,256 na waliopona ni...

READ MORE

Corona Yaleta Mtikisiko Wa Uchumi Dunia Nzima

DAR: Ni vilio kila kona, ndivyo unavyoweza kutafsiri janga la maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo sasa vimeathiri sekta zote...

READ MORE

Corona Imetibua Uchaguzi Mkuu wa Nchi Nyingi Duniani

HALI haijulikani itakuwaje kwa nchi nyingi za Afrika ambazo zinatakiwa kufanya uchaguzi mkuu mwaka huu kama Virusi vya Corona vitaendelea...

READ MORE

Walioambukizwa Corona Uganda Wafikia 18

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amesema idadi ya maambukizi nchini humo imefikia 18 baada ya vipimo 197 vilivochukuliwa jana kuthibitisha...

READ MORE

Wawili Wafariki kwa Corona Afrika Kusini

WAZIRI wa Afya wa Afrika Kusini, Dkt. Zweli Mkhize,  amesema watu wawili kutoka Jimbo la Western Cape wamefariki dunia kutokana...

READ MORE

Baada ya Kuzidiwa na Corona, Marekani Yaiangukia China

BAADA ya kurushiana maneno kwa muda mrefu, kila mmoja akimshutumu mwenzake kwamba ameleta janga la virusi vya corona, hatimaye serikali...

READ MORE

Marekani Yaongoza Maambukizi ya Corona, Yaipiku China

MAREKANI imeripoti jumla ya maambukizi 85,604 na kuwa nchi yenye maambukizi mengi zaidi ikiizidi China yenye maambukizi 81,340 na Italia...

READ MORE

Papa Francis Apimwa Corona

KIONGOZI wa KanIsa Katoliki Duniani, Papa Francis amepimwa virusi vya corona (covid-19) na kuthibitika kuwa hajaambukizwa.   Alipimwa virusi hivyo...

READ MORE

Mgonjwa wa Kwanza Afariki kwa Corona Kenya

SERIKALI ya Kenya imethibitishia kuwa mgonjwa wa kwanza aliyekutwa na maambukizi ya virusi vya corona nchini humo ambaye ni mwanamme...

READ MORE

Mitumba Yapigwa Marufuku Kenya

KENYA imepiga marufuku uingizaji na uuzaji wa nguo za mitumba nchini humo katika harakati za kupambana na usambaaji wa virusi...

READ MORE

Kenyatta Apunguza Mshahara Wake Kupambana na Corona

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amepunguza mshahara wake na wa makamu wake, William Ruto, kwa asilimia 80 kwa ajili ya...

READ MORE

Mgonjwa wa Kwanza wa Corona Tanzania Apona

ISABELA Mwampamba (46), mgonjwa wa kwanza kupatikana na virusi vya corona (COVID-19) nchini Tanzania, amepona na yupo huru kuungana na...

READ MORE

Corona: Mbowe Karantini Siku 14

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, sasa yupo chini ya karantini na amechukua hatua hiyo yeye...

READ MORE

Wafungwa 4,000 Waachiwa Huru Kisa Corona

ZAIDI ya wafungwa 4,000 wameachiwa huru nchini Ethiopia ikiwa ni hatua ambayo serikali hiyo imechukua ili kudhibiti maambukizi ya virusi...

READ MORE

Muuguzi Aliyepata Coronavirus Ajiua

MUUGUZI aliyekuwa akifanya kazi katika Kitengo Maalum cha Kupambana na Maambukizi ya Virusi vya Corona nchini Italy, Daniela Trezzi (34)...

READ MORE

Corona: Rais DRC Atangaza Hali ya Hatari Nchi Nzima

RAIS Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ametangaza hali ya hatari nchini kote, ikiwa ni juhudi za...

READ MORE

Ghafla tu, Corona Imegeuka Bonge la Dili!

“MGENI kwetu ameingiaa… Mgeni…mgeniii… mgeni… Mgeni huyu Ukimwiii..! “Mgeni chumbani ameingiaaa… Chumbani kwa baba na mamaaa… Mgeni… mgeniii, mgeni huyu...

READ MORE

Maajabu ya Corona, Kumbe Hakuna Mtoto Aliyekufa! – Video

Kufuatia Mripuko wa ugonjwa wa Corona Duniani hadi takati huu hakuna mtoto hata mmoja aliyepoteza maisha japo janga hili limekuwa...

READ MORE

China Imetengeneza Corona Vikamwagika, Marekani Ndo Chanzo – Video

 HII ni makala fupi inayoelezea ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID – 19) ulipoanzia, ambayo imejaa mambo mengi usiyoyajua juu...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Mbowe: Kweli Mwanangu Ana Corona, Yuko Karantini

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amemuomba Rais Magufuli, kushirikisha wadau wengine nje ya Serikali ili...

READ MORE

Rais Magufuli Apima Corona Dodoma

  RAIS  John Magufuli leo amepima joto la mwili katika harakati za upimaji  zinazoendelea nchini na duniani kote kugundua na...

READ MORE

Watakaotoka Majumbani Kupigwa Faini

WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, ametoa amri ya kuwataka watu wabakie majumbani na kuwapiga faini kwa wale watakaokiuka maagizo...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Waongezeka Uganda, Rwanda

IDADI ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Uganda imeongezeka kwa kasi huku nchi hiyo ikipambana kuzuia maambukizi zaidi. Uganda...

READ MORE

Mtangazaji Maarufu wa Runinga Afariki kwa Corona

ZORORO Makamba (30), mtangazaji maarufu wa vipindi vya televisheni nchini Zimbabwe, amefariki dunia kwa ugonjwa wa corona (COVID-19). Makamba aliyefariki...

READ MORE

#Coronavirus Uganda: Idadi ya Wagonjwa Yafikia 9

UGANDA imethibitisha kuwepo wagonjwa tisa waliokumbwa na virusi vya Corona nchini humo kwa mujibu wa Waziri wa Afya, Dr Jan...

READ MORE

Corona Afrika Kusini: Nchi Nzima Yawekwa Karantini kwa Siku 21

RAIS wa Afrika Kusini, Cyrill Ramaphosa,  ametangaza siku 21 za wananchi wote wa nchi hiyo kujifungia ndani ilikiwa ni sehemu...

READ MORE

ATCL Yafuta Safari za Ndege Kuikabili Corona

Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imefuta safari zake za kwenda nchini Comoro, na hivyo kuifanya iwe imefuta safari zake kwenda...

READ MORE

Corona: Zanzibar Yafunga Baa “Ukiingia Tunakuweka Karantini”

Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid Mohamed amesema serikali imewaweka karantini wananchi 65 wakiwemo vigogo wa serikali na maofisa...

READ MORE

Majaliwa Aunda Kamati Tatu Kupambana na Corona

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa,  amesema serikali imeunda kamati tatu kwa ajili ya kukabiliana na virusi vya Corona ambapo ya kwanza...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la UWAZI kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la UWAZI kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Bonyeza hapa...

READ MORE

Fahamu: Kikohozi Kimoja Kinasambaza Virusi 3,000 vya Corona

Jinsi hofu ya kuambukizwa ugonjwa wa Covid-19 inavyozidizidi kupanda, hofu ya kushika vitu mbalimbali ambavyo vinaweza kuwa na virusi pia...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na IjumaaWikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la IjumaaWikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa...

READ MORE