Ufafanuzi wa Somo Jipya Liliongezeka Darasa la 7
KATIBU Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), Dkt. Charles Msonde, amesema kuwa idadi ya masomo katika mtihani wa Darasa la Saba mwaka huu imeongezeka kutoka masomo matano hadi sita, somo lililoongezeka linaitwa Uraia na…
