×

Tag: Diamond

Mondi Adaiwa Kupewa Bangi Marekani, Ndoa ya Paula, Rayvanny Mambo ni Moto

KATIKA kipindi cha ‘HOTPOT’ leo July 05, wadakuzi wa mambo na washambenga wa kujitolea wamedukua taarifa za chini chini zikidai...

READ MORE

Huku Kiba na Mondi, Kule Zuchu na Harmo

SOKO la Bongo Fleva linazidi kukua na hii inasababishwa na ukweli kwamba wasanii wanatoa nyimbo nyingi na nzuri ambazo zinavutia...

READ MORE

Diamond ‘Awashinda’ Wanaharakati Mitandaoni

MITANDAO hii ya kijamii sasa hivi ni hatari sana. Watu wanaweza kuamua kueneza uvumi wa jambo fulani na likaungwa mkono...

READ MORE

Diamond Akutana Na Busta Rhymes, Swizz Beats Studio -Video

Rapa Legendary kutokea nchini Marekani Busta Rhymes ameshare video akiwa na Mwanamuziki wa Tanzania, Nassib Abdul maarufu Diamond Platnumz wakiwa...

READ MORE

Diamond Atua Marekani Kwaajili Ya Tuzo Za BET -Video

Megastaa wa muziki barani Afrika, Diamond Platnumz tayari ametua jijini Los Angeles, kujumuika na mastaa wenzake kwenye utoaji wa Tuzo...

READ MORE

Diamond, Kifaa Kipya Gumzo Insta! -Video

MKALI wao, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amezua gumzo na kifaa kipya ambacho bado hakijajulikana jina lake. Kupitia ukurasa wake, Diamond...

READ MORE

Siri Vita Wanaompinga Mondi Tuzo Za BET

JAMBO usililolijua ni kama usiku wa giza! Ndicho kinachoendelea sasa katika tasnia ya burudani baada ya mashabiki muziki nchini Tanzania,...

READ MORE

Video: Uncle Shamte Avujisha Siri Za Mama Dangote | Hotpot

 KATIKA kipindi cha ‘HOTPOT’ leo Juni 04, wadakuzi wa mambo wamezungumzia ishu ya Diamond kudaiwa kununua gari ya ndoto...

READ MORE

Gari ya Diamond cha Mtoto

TANGU headlines za Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kukunua ndinga mpya aina ya Escalade kumekuwa na kelele nyingi mitandaoni....

READ MORE

Hakuna Kura za Mashabiki Bet

Mashabiki wa Diamond na Burnaboy wamekuwa wakitaka wapewe ‘link’ ili Wawapigie Kura Wasanii hao kuwawezesha kushinda Tuzo ya BET katika...

READ MORE

Mondi: Wengi Wamejaribu Kuniua

Wakati kukiwa na mjadala mkali juu ya kuteuliwa kwake kuwania Tuzo ya BET, staa wa Bongo Fleva, @diamondplatnumz amesema kuna...

READ MORE

Wema ampigia debe Mondi

Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu ambaye pia ni Malkia wa urembo nchini mwaka 2006, amempongeza Msanii wa Bongofleva, Naseeb...

READ MORE

Mobetto Afunguka Mondi Kwenda Kwake

Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya nchini na mfanyabiashara Hamisa Hassan ‘Mobetto’ ambaye pia ni mzazi mwenza wa msanii wa...

READ MORE

Mondi Amzawaida Gari Mkubwa Fela

  Msanii wa maarufu wa Bongofleva, Naseeb Abdul amemzawadia gari aina ya Honda CRV mmoja wa mameneja wake, Saidi Fella...

READ MORE

Mzee Abdul Atoa Tamko Zito Kuhusu Diamond “Damu Yangu”- Video

MZEE Abdul Juma ambaye amekuwa akifahamika kama baba mzazi wa Diamond Platinumz amesema hawezi kumlaumu Diamond, kwani tangu alipotoka Hospitali,...

READ MORE

Wakazi Achafukwa Waopiga Kampeni Diamond BET Award

ANAANDIKA Wakazi   Nimesikitishwa na comment za watu za kusema hawataki kum-support Diamond BET kwa sababu akishinda ataitumia kama fimbo...

READ MORE

Mo Dewji Ampa Shavu Mondi

Mfanyabiashara na bilionea maarufu Bongo, Mohamed Dewji amempongeza Msanii machachari wa Bongofleva, Naseeb Abdul, ‘Diamond Platnumz’ kwa kuteuliwa kuwania tuzo...

READ MORE

Mondi Kama Mswati

Staa wa muziki Afrika Mashariki, Nasibu Abdul au Diamond Platnumz amewapagawisha mashabiki wake kwa kuachia video inayomuonesha akiwa studio na...

READ MORE

Alikiba Amjibu Mondi: Hela Haiitaji Matangazo

KWA mara ya kwanza msanii AliKiba amefunguka kuhusu jina Sadala ambapo ameeleza neno hilo ni jina tu kama majina mengine...

READ MORE

Diamond, Wizkid na Burna Boy Watajwa Kuwania Tuzo za BET

Mastaa wa Muziki Diamond Platnumz, Wizkid na Burna Boy Mei 27, 2021 wametajwa kuwania tuzo za BET katika kipengele cha...

READ MORE

Jafo Awapa Shavu Mastaa Hawa

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amewateua wasanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz,...

READ MORE

Utajili wa Mondi UTATA WAIBUKA..

WAKATI jarida moja nchini Nigeria likimtaja msanii maarufu kutoka nchini Tanzania na katika Ukanda wa Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’...

READ MORE

Alikiba Amuita Mondi ‘Sadala’ Amjibu Ishu ya Utajiri Wake- Video

IKIWA ani siku chache baada ya Msanii Diamond Platnumz kuwafokea Forbes kuwa utajiri wake waliouandika kwenye jarida lao si halisi...

READ MORE

Diamond Ashindwa Kujizuia, Awalipua Forbes Kuhusu Utajiri Wake -Video

Staa wa Bongo Fleva, Nassibu Abdul, maarufu Diamond Platnumz leo Mei 18, 2021 kupitia ukurasa wake wa Instagram amewachana Forbes...

READ MORE

Mondi Asaini Dili na Warner Music Group

STORI inayo-make headlines kwa leo ni kutoka kwenye moja kati ya Big Three Music Record Label Duniani ‘Warner Music Group’...

READ MORE

Diamond Agawa Pesa, Chakula Tandale – Video

MSANII wa Bongofleva, Nassibu Abdul maarufu Diamond Platnumz leo Ijumaa Mei 14, 2021 amegawa fedha na chakula kwa baadhi ya...

READ MORE

Hoteli Ya Mondi Yafungwa, Msimamizi Afunguka

MWAKA mmoja baada ya msanii mkubwa nchini Tanzania, Nasibu Abdul ‘Diamond Platumz’ kununua hoteli ya kifahari, hoteli hiyo imefungwa. Katika...

READ MORE

Mondi Kumwaga Zawadi ya Eid Tandale, Kariakoo

Mkurugenzi wa Makampuni ya Wasafi na Star wa Muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz anatarajia Kutoa alichojaliwa ikiwa kama zawadi...

READ MORE

H-Baba; Diamond Aache Kudanganya, Hana Uwezo Wa Kununua Ndege -Video

MSANII wa kitambo wa Bongo Fleva, H-Baba amemshukia Diamond Platnumz kwa kumtaka aache kuwadanganya mashabiki wake kwamba amenunua ndege binafsi...

READ MORE

Mondi, Zari Waharibiana Swaumu  

WAMEHARIBIANA swaumu! Ndiyo kauli iliyopigiwa mstari na baadhi ya waumini wa Dini ya Kiislam baada ya staa wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Mastaa wa Kike Waliowahi Kudumu Penzini na Mondi

WANASEMA raha ya mapenzi ni udumu na mwenzi wako kwa muda mrefu lakini pia akuweke hadharani ili ndugu jamaa na...

READ MORE

Shazam Yazindua Playlist ya Mastaa Afrika Mashariki Ndani ya Apple Music

SHAZAM imezindua playlist yake mpya ya wasanii wanaofanya vizuri Afrika Mashariki katika Mtandao wa Apple Music, ijulikanayo kama East Africa...

READ MORE

Mondi, Madee Wafika Uhuru Kumuaga Magufuli – Video

MWILI wa Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt John Pombe Magufuli, utaagwa leo Machi 20, katika jiji la Dar es...

READ MORE

Diamond Aanika Uzinduzi Albamu ya Mbosso – Video

Mkurugenzi wa Lebo ya WCB, Diamond Platnumz ametangaza uzinduzi wa Albamu ya msanii wake, Mbosso iitwayo ‘Definition of Love’ ambapo...

READ MORE

Mondi Amtupia Kijembe Harmonize “Sio Uchawi” – Video

CEO wa Lebo ya WCB, Diamond Platnumz amemtupia dongo aliyekuwa mwanamuzi wake kwenye lebo hiyo, Harmonize kwa kitendo cha kuikashifu...

READ MORE

Rayvanny Avunja Ukimya, Aweka Wazi Kuhusu WCB – Video

MWANAMUZIKI Rayvanny usiku wa kuamkia leo Machi 10, amezindua ofisi ya studio yake iliyopo Mbezi Rainbow jijini Dar.

READ MORE

Q Chief Amwangukia Diamond “Nisamehe, ni Hasira tu” – Video

Msanii nyota wa muziki nchini Tanznaia, amewaomba radhi mashabiki na wadau wa muziki nchini Tanzania kwa kutoa lugha chafu dhidi...

READ MORE

Mama Dangote Ampigia Saluti Zari

MAMA mzaa chema wa staa mkubwa wa muziki barani Afrika kutoka nchini Tanzania, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Mama...

READ MORE