Jela Miaka 30 Kwa Kumbaka Mama Yake Mzazi, Mtuhumiwa Atoroka Hukumu
MAHAKAMA ya Wilaya ya Iringa imemhukumu mfanyabiashara, Kaloli Mkusa kifungo cha miaka 30 jela na fidia ya shilingi milioni moja baada ya kumtia hatiani kwa kumbaka mama yake mzazi.
Hata hivyo mfanyabiashara huyo mwenye…