×

Tag: KENYA

Mikopo kwa Watakaooana

  Mtia nia wa kugombea urais nchini Kenya ameahidi kutoa mikopo yenye thamani ya kati ya TZS milioni 10 hadi...

READ MORE

Waliokufa Baada Ya Basi Kutumbukia Mtoni Wafika 32

Idadi ya watu waliopoteza maisha ya baada ya basi walilokuwa wakisafiria, kusombwa na maji katika Mto Enziu, Ngune, Kaunti ya...

READ MORE

Milionea Mdogo wa New Zealand Afia Kenya

MILIONEA mwenye umri mdogo wa miaka 26, Raia wa New Zealand Jake Millar amefariki Duniani akiwa nchini Kenya katika kifo...

READ MORE

Bila Kuchanjwa Hauingii Baa, Hoteli

SERIKALI ya Kenya imesema kuwa huenda sasa Baa pakawa pagumu kwa wasiochanja na wakaamua kunywea pombe zao majumbani kutokana na...

READ MORE

Serikali Yagoma Kutoa Zawadi ya Bil 1 kwa Waliofichua Magaidi

WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Fred Matiang’i amezungumzia kuhusu zawadi ambayo serikali ilikuwa imeahidi kutoa zaidi ya kiasi...

READ MORE

#Breaking: Ghorofa Lawaka Moto Kenya – Video

MOTO mkubwa umelipuka na kusababisha taharuki miongoni mwa wakazi wa eneo la Matopeni Kayole baada ya jengo refu la ghorofa...

READ MORE

Kibaka Amchoma Kisu Askari na Kumuibia

JESHI la Polisi nchini Kenya wanamsaka kijana mmoja kibaka ambaye alimvamia na kumjeruhi ofisa wa polisi wa mwanamke katika eneo...

READ MORE

Tanzia: Muigizaji Maarufu Mzee Mathiokore Afariki Dunia

ALIYEKUWA muigizaji nguli  na maarufu katika kipindi cha Gumbaru School kilichokuwa kipeperushwa kwenye Runinga ya K24 ya nchini Kenya, Mzee...

READ MORE

Ruto Amjibu Kenyatta: ”Sitajiuzulu Kamwe”

Naibu wa Rais nchini Kenya, William Ruto siku ya Jumanne alisema kwamba hatojiuzulu saa chache tu baada ya Rais Uhuru...

READ MORE

Polisi Wawadaka Watuhumiwa wa Ugaidi Wakiwa wa Silaha

Jeshi la Polisi nchini Kenya, limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili wa ugaidi katika Kivuko cha Likoni, wakiwa njiani kuelekea jijini Mombasa....

READ MORE

Tanzania, Kenya Wajadili Vikwazo Visivyo vya Kiforodha

TIMU ya wataalamu kutoka Tanzania imekutana na timu ya wataalamu kutoka Kenya Jijini Arusha kujadili njia za kuondoa vikwazo visivyo...

READ MORE

Kenyatta: Ushirikiano wa Kenya na TZ Sasa Utakuwa wa Kiwango Kingine

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema ushirikiano baina ya Tanzania na Kenya utayafanya mataifa hayo kupiga hatua katika maendeleo.  ...

READ MORE

Samia: Bunge la Kenya Linasimisimua, Mna Demokrasia – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Kenya lililo na mjumuiko wa wabunge wa...

READ MORE

ATCL Yasitisha Safari Zake Kwenda India

KAMPUNI ya Ndege Tanzania (ATCL) imesitisha safari zake za ndege kati ya Dar as Salaam na Mumbai (India ) kuanzia...

READ MORE

Video: Rais Samia na Kenyatta Wafungua Kongamano la Wafanyabiashara

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru...

READ MORE

Rais Samia Awasili Ziarani Kenya (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 4, 2021 amewasili nchini Kenya ambako anafanya ziara...

READ MORE

Kenya Yasitisha Safari za Ndege India

SERIKALI ya Kenya imesitisha kwa muda safari za ndege za abiria wanaotoka India. Waziri wa afya Mutahi Kagwe amesema hatua...

READ MORE

Martha Koome Jaji Mkuu Mpya wa Kenya

Jopo la Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) imempitisha Jaji Martha Koome kuwa Jaji Mkuu mpya wa Kenya na kuweka...

READ MORE

Wakenya Wavamia IMF Wakilaumu Nchi Yao Kukopeshwa

Kwa mara ya pili wiki hii, mtandao wa kijamii wa shirika la fedha duniani IMF umejipata ukivamiwa na ukosoaji kutoka...

READ MORE

Ruto Ajitetea Kupata Chanjo ya Sputnik-V Badala ya AstraZeneca

Naibu Rais wa Kenya, William Ruto, ametetea uamuzi wake wa kutumia chanjo ya Sputnik-V badala ya AstraZeneca kama serikali yao...

READ MORE

Ugonjwa wa Ajabu Waua Watu Wanane

Ugonjwa wa ajabu umeua watu wanane kwenye kijiji kidogo kilichoko katika Kaunti ya Kakamega nchini Kenya. Mamlaka husika zilithibitisha vifo...

READ MORE

Watu 20 Wafariki kwa Corona Kenya, Vifo Vyafikia 2,244

Watu 20 zaidi wamefariki ndani ya saa 24 kutokana na kupata Virusi vya Corona na kufanya idadi ya watu waliofariki...

READ MORE

Kenya Yaijibu Uingereza

SERIKALI ya Kenya imejibu marufuku ya Uingereza kwa kuwawekea raia wa nchi hiyo watakaowasili sharti la kuwa karantini kwa siku...

READ MORE

Wakenya Waandamana Kisa Masharti ya Covid19

Baadhi ya Wananchi wa #Kenya wameandamana kupinga hatua zinazochukuliwa kudhibiti maambukizi ya #COVID19 wakibeba mabango yenye jumbe mbalimbali huku wengine...

READ MORE

🔴#FT: Kenya 2 – 1 Tanzania – Mechi ya Kirafiki

KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa kichapo cha mabao 2-1 mbele ya...

READ MORE

Rombo: Wakenya 26 Wahukumiwa Jela kwa Kuingia Nchini Kinyemela

Mahakama ya Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro imewahukumu kifungo cha mwaka mmoja jela ama kulipa faini ya shilingi laki tano...

READ MORE

Kenya Yatangaza Kutopokea Mahindi Kutoka Tanzania na Uganda

Mamlaka ya Kilimo na Chakula ya Kenya imedai uchunguzi umebaini kuwa mahindi yanayoingia kutoka Tanzania na Uganda sio salama kwa...

READ MORE

Kitendawili! Nani Kuanza Kuchanjwa Corona Kenya?

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema wahudumu wa afya ndio watakaokuwa wa kwanza kupokea chanjo ya Covid 19 kwani wapo...

READ MORE

Kenya Yapokea Shehena ya Chanjo ya Covid-19

Shehena ya chanjo ya Covid-19, dozi milioni 1.02 za Oxford-AstraZeneca imetua katika uwanja wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi nchini Kenya,...

READ MORE

Kenya Kupokea Dozi Milioni 24 za Chanjo ya Corona

Kenya inatarajia kupokea dozi milioni 24 za chanjo ya ugonjwa Corona iliyotengenezwa na kapuni ya Astrazeneca na chuo kikuu cha...

READ MORE

Mamia ya Madaktari Wafukuzwa Kazi Kenya

MAMLAKA mjini Mombasa nchini Kenya imewafukuza mamia ya madaktari akiwemo mwenyekiti wa umoja wa madaktari katika kaunti hiyo.   Kwa...

READ MORE

Eric Omondi Akwaa Skendo Kudhalilisha Wanawake Kingono

HATIMAYE mchekeshaji Eric Omondi amejipatia jiko ambalo ni  mrembo anayefahamika kwa jina la Carol, kupitia ‘The Wife Material Show’ kipindi...

READ MORE

Bunge Lamwondoa Madarakani Gavana Sonko

BUNGE la Seneti limemuondoa madarakani Gavana wa Nairobi, Mike Sonko, baada ya maseneta 27 kupiga kura za ndiyo kuunga mkono...

READ MORE

Somalia Yasitisha Uhusiano na Kenya, Yatimua Wanadiplomasia

  SOMALIA imetangaza kusitisha uhusiano wake na Kenya ikidai kwamba serikali ya Kenya inaingilia kati masuala yake ya ndani.  ...

READ MORE

Kenya Yaagiza Chanjo ya CORONA

KATIKA harakati za kupambana na  ugonjwa wa Covid-19, #Kenya imeagiza dozi milioni 24 za Chanjo ya #CoronaVirus zitakazotosha 20% ya...

READ MORE

Mtanzania Aliyefungwa Kenya Kwa Ugaidi Ajinyonga

RASHID MBERESERO, Mtanzania aliyehukumiwa kifungo cha maisha nchini Kenya baada ya kukutwa na hatia ya kuhusika katika shambulio la kigaidi...

READ MORE

Simba Yamvutia Kasi Kiungo Mkabaji wa Kaizer Chief

  INAELEZWA kuwa Simba inavutiwa na kiungo wa Kaizer Chiefs na timu ya Taifa ya Kenya, Anthony Teddy Akumu. Hesabu...

READ MORE

Wabongo Wanne Wahukumiwa Kenya

Watanzania watatu kati ya wanne wanashikiliwa nchini Kenya baada ya kushindwa kulipa faini ya Sh105,000 za Kenya (zaidi ya Sh2.1...

READ MORE

Lema Aachiwa, Apewa Hifadhi Kenya

ALIYEKUWA mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, ameachiliwa na polisi nchini Kenya baada ya kukamatwa kwa madai ya...

READ MORE

Wimbi Jipya Maambukizi ya Corona Laibuka Kenya

WIZARA ya Afya nchini Kenya imeelezea wasiwasi wake kuhusu ongezeko kubwa la idadi ya watu wanaofariki kutokana na ugonjwa wa...

READ MORE