Mhitimu Kidato cha Nne Ajiua
Mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2021 Shule ya Sekondari Serengeti mkoani Mara Lucas Thomas (17) amekutwa amejinyonga kwa kamba kwenye mti mrefu katika kijiji cha Buhemba Wilaya ya Butiama baada ya kuaga anaenda shambani kuvuna mahindi…
