×

Tag: Mafuriko

Live: Rais Samia Anazindua Chuo cha Ualimu Kabanga Mkoani Kigoma Muda Huu-Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan yupo katika ziara ya kikazi mkoani Kigoma ambapo kwa sasa...

READ MORE

Mafuriko Yasababisha Vifo vya Watu Zaidi ya 600 Nchini Nigeria

NCHI ya Nigeria imekumbwa na mafuriko ambayo yamevunja historia kwa nchi hiyo kwa zaidi ya miaka 10 ambayo yamesababisha vifo...

READ MORE

Zaidi ya Watu 130 Wafariki Kutokana na Mafuriko Nchini Sudan

ZAIDI ya watu 130 wamefariki dunia na wengine kadhaa wamenusurika kifo kwa sababu ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko...

READ MORE

Mvua Kubwa Yatabiriwa Kuikumba Pakstani kwa Miezi Sita

MAFURIKO yaliyoikumba Pakistan tangu Juni, mwaka huu yameiletea nchi hiyo maafa makubwa kwa kuathiri mamia ya vijiji katika sehemu kubwa...

READ MORE

Takribani Maelfu ya Watu Wamehamishwa Korea Kusini kwa Kuvamiwa na Kimbunga

KIMBUNGA chenye nguvu Zaidi ambacho hakikuwahi kuikumba Korea Kusini kwa miaka mingi kimekumba eneo lake la kusini, kiki ambatana na...

READ MORE

Mafuriko Yaua Watu 100 Sudani na Kufanya Uharibifu wa Makazi ya Watu

Hali ya dharura imetangazwa nchini Sudani katika majimbo sita kutokana na mafuriko yaliyo haribu makazi na kusababisha vifo vya watu...

READ MORE

Mafuriko Yaleta Athari Kubwa Nchini Pakistan, Watu Zaidi ya 1000 Wapoteza Maisha

  Waziri wa hali ya hewa nchini Pakstani Sherry Rehman amesema kuwa mafuriko yanayondelea nchini humo yameleta hasara kubwa ambapo...

READ MORE

Pakistan Yaomba Msaada Wakimataifa Baada ya Kukumbwa na Mafuriko ya Ghafla

PAKISTAN iko mbioni kuzuia upotezaji zaidi wa maisha huku ikikabiliwa na moja ya maafa mabaya zaidi ya hali ya hewa...

READ MORE

Watu Zaidi ya 16 Wafariki kwa Mafuriko China Kaskazini, Serikali Yaingilia Kati

BEIJING Mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha huko jimbo la Qinghai kaskazini mwa nchi ya China yamesababisha vifo vya...

READ MORE

Mafuriko Yakata Mawasiliano Mufindi, Yakatisha Masomo kwa Wanafunzi

ZAIDI ya ekari 20 za mashamba yenye mazao mbali mbali katika kijiji cha Kitasengwa kata ya Makungu wilaya ya Mufindi...

READ MORE

Mwanafunzi Afariki kwa Kuzama Mtoni Akipiga Picha

ZIARA katika Chemchemi ya Maji ya Kimaya, Mto Chepkulo kaunti ya Bomet nchini Kenya imegeuka kuwa mauti baada ya mwanafunzi...

READ MORE

Mafuriko China, Hali Ni Mbaya, Vifo Vyaongezeka

IDADI ya watu waliopoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa katika Mkoa wa Hnan nchini China imeongezeka hadi...

READ MORE

Idadi ya Vifo Yazidi Kuongezeka Mafuriko China, Mamia Wanaswa Kwenye Treni

IDADI ya watu waliopoteza maisha kutokana na mafuriko makubwa yaliyoikumba China, inazidi kuongezeka huku vikosi vya uokoaji vikifanya kazi ya...

READ MORE

Mafuriko Ujerumani Yaua Zaidi ya Watu 21

Takribani watu 21 wamefariki dunia huku wengine wengi wakiwa hawajulikani walipo, kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Magharibi...

READ MORE

‘Mafuriko ya Damu’ Yazua Gumzo

Kijiji kimoja cha Indonesia kimekumbwa na mafuriko yenye rangi ya damu baada ya maji kuingia katika kiwanda kimoja cha nguo....

READ MORE

Bil. 4 Kuboresha Miundombinu Jangwani Dar

SERIKALI kupitia Mfuko wa Barabara (Road Fund), imesema ipo tayari kupitisha kiasi cha shilingi bilioni 4 kwa ajili ya kumlipa...

READ MORE

Breaking: Mvua Kubwa Yaua Watu 12 Dar – Video

MKUU  wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakary Kunenge, amesema kuwa mvua kubwa zilizonyesha juzi Jumanne, Oktoba 13, 2020 jijini...

READ MORE

Watu 90 Wafariki kwa Mafuriko

TAKRIBAN watu tisini wamefariki na wengine karibu  400,000 kuachwa bila makao kufuatia mafuriko makubwa Sudan.   Umoja wa Mataifa unasema...

READ MORE

Watu 140 Wafariki kwa Mafuriko China

SERIKALI imesema mafuriko mabaya zaidi kutokea ndani ya miaka zaidi ya 30 nchini China  yamesababisha vifo vya watu takriban 140,...

READ MORE

Inatisha! Mafuriko Yaua Watu 194 Kenya

MVUA  kubwa zilizonyesha nchini Kenya zimeua watu 30 hivi karibuni na kufanya idadi ya jumla ya watu 194 kupoteza maisha...

READ MORE

Mafuriko Buza ni Kiboko, Utashangaa Daraja la Mbao – Video

Wakazi wa Buza kwa Mpalange katika Manispaa ya Temeke Jijini Dar es salaam wameiomba Serikali kuwatengenezea miundombinu ya Barabara katika...

READ MORE

Mafuriko Yaacha Maafa Kilombero

Kufuatia Kaya 250 katika kata ya Msolwa Stesheni katika kijiji cha Nyange Wilayani Kilombero kuathirika na athari za maafa ya...

READ MORE

TMA Yatahadharisha: Mvua Kubwa Inakuja

  Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini(TMA), imetoa tahadhari ya mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha leo Machi 2-3, 2020 katika mikoa...

READ MORE

Mafurikio Hanang, Hali ni Tete!

KAYA 91 katika kijiji cha Bassotu wilayani Hanang mkoa wa Manyara zimezingirwa na maji hali iliyosababisha wayahame makazi yao baada...

READ MORE

Mtoto Aliyesombwa na Mafuriko, Siku ya 5 Hajapatikana

JESHI la Zimamoto na Uokoaji mkoani Manyara kwa siku ya tano sasa bado linaendelea kumtafuta mtoto Salimu Muhazar (12) aliyekuwa...

READ MORE

Rukwa: Mvua Yabomoa Madaraja Manne, Watatu Wafariki

MVUA zinazoendelea kunyesha katika mkoa wa Rukwa, zimeendelea kusababisha maafa baada ya kusomba madaraja manne katika barabara kuu ya Kasansa-Kilyamatundu...

READ MORE

Tahadhari: Mvua Kubwa Kunyesha Mikoa 7

MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa angalizo la mvua kubwa kuanzia leo katika mikoa saba ambayo ni Singida,...

READ MORE

Watu 36 Wafariki kwa Mafuriko

SHIRIKA la Uokoaji la Msalaba Mwekundu nchini Uganda linaloendelea na uokoaji katika Wilaya ya Bundibugyo, limesema kuwa watu wengi bado...

READ MORE

Mvua Yaua Watu Tisa Sengerema Mwanza

WATU tisa wa familia mbili, wakiwa ni wanawake wanne  na watoto watano, wamefariki katika Kata  ya Nyatukala wilayani Sengerema, mkoani...

READ MORE

Mafuriko: Watu Laki 4 Wakosa Makazi

  SHIRIKA la kimataifa la misaada la Save the Children limesema zaidi ya watu 420,000 wamelazimika kuondoka kwenye makaazi yao...

READ MORE

Mafuriko Yaua 6 Tanga, Barabara Zafungwa

WATU  sita wameripotiwa kupoteza maisha huku kaya kadhaa wilayani Korogwe zikikosa makazi baada ya nyumba zao kuanguka na zingine kujaa...

READ MORE

MAFURIKO DAR! Hali Ilivyo JANGWANI – VIDEO

MVUA zinazoendelea kunyesha katika jiji la Dar es Salaam, zimesababisha madhara makubwa ikiwemo kuharibu mawasiliano katika maeneo ya Jangwani ambapo...

READ MORE

UDA-RT YASIMAMISHA HUDUMA YA MABASI MWENDOKASI

KAMPUNI ya UDART imesitisha huduma ya usafiri sehemu inayopitia eneo ya Jangwani na kwenda Morocco bonde la Mkwajuni kwa muda...

READ MORE

MAFURIKO DAR, Wananchi Walia – Video

MVUA zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam kwa wiki nzima mfululizo zimesababisha mafuriko makubwa katika Bonde la Mto Msimbazi, maeneo...

READ MORE

BAD NEWS: MAFURIKO YAUA 28

IDADI ya watu waliokufa kutokana na mvua kubwa zilizosababisha mafuriko Kusini mwa Malawi imefikia watu 28. Taarifa ya Wizara ya...

READ MORE

Watu 40 Wamefariki kwa Mafuriko – Pichaz

TAKRIBANI watu 40 wamefariki dunia kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na mvua nyingi katika jimbo la Katsina, Kaskazini mwa Nigeria, mpakani na...

READ MORE

BALAA LA MVUA Maiti 3 Zaopolewa, Bado 9

MARA: Balaa la mvua! Baada ya watu 12 kusomwa na maji wakiwa kwenye mtumbwi katika Mto Mara uliopo mpakani wa...

READ MORE

HATARI KUBWA: Jengo Hili Dar Kuporomoka Muda Wowote – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema serikali inafanya uchunguzi kuhusu mkandarasi aliyejenga jengo la ghorofa kumi...

READ MORE

KUPATA MATUKIO YOTE PAPO KWA PAPO BOFYA HAPA

KUWA wa kwanza kupata habari zote za michezo wakati wowote zinapotokea, Tuma SPORTS kwenda 15599 utapata habari za kitaifa na...

READ MORE

Mvua Ilivyosababisha Maafa Dar

MVUA za masika zinazoendelea kunyesha zilisababisha maafa makubwa ikiwemo vifo vya watu wanne pamoja na watu kadhaa kujeruhiwa na ukuta...

READ MORE