×

Tag: Magufuli

Breaking News: ‘Nabii’ Tito Mikononi mwa Sirro

JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma inadaiwa limemtia mbaroni mkazi mmoja wa mkoani humo anayejitangaza kama nabii, Tito Machija, ambaye...

READ MORE

Breaking News: Rais Magufuli Amtumbua Mkurugenzi Butiama

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Suleimani Jafo ametangaza kuwa, Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya...

READ MORE

JPM Apokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi 6

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amepokea hati za utambulisho kutoka Mabalozi 6 walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini.

READ MORE

JPM Aagiza Usajili wa Meli Mpya Usitishwe Mara Moja – Video

RAIS John Magufuli ameagiza kusitishwa kwa usajili wa meli mpya Tanzania Bara na visiwani hadi hapo itakapotangazwa vinginevyo kufuatia kukamatwa...

READ MORE

Kamati ya JPM ya Madini Yaanza Mazungumzo na Tanzanite One

Serikali imeanza mazungumzo na wawakilishi wa kampuni ya Tanzanite One ambayo yanalenga kuhakikisha Tanzania inanufaika ipasavyo na rasilimali ya madini...

READ MORE

Breaking News: JPM Apiga Marufuku Michango kwa Wanafunzi – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Januari 17, 2018 amepiga marufuku aina yoyote...

READ MORE

Mfungwa Aliyesamehewa na JPM Afariki Kimiujiza Akijiandaa Kwenda Ikulu

   MACHOZI yametawala kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha maajabu cha mfungwa aliyeachiwa huru hivi karibuni kwa...

READ MORE

Juma Nkamia Azidi Kukomaa Muda wa Urais Uongezwe Kuwa Miaka 7

Mbunge wa Chemba kwa tiketi ya CCM, Juma Nkamia amefunguka na kusema amemsikia Rais kuhusu kutohitaji kufanya mabadiliko ya Katiba...

READ MORE

JPM Awalilia 11 Waliokufa Ajalini Kagera

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salam za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Mstaafu, Salum Kijuu...

READ MORE

Siku Nne Baada ya Lowassa Kutinga Ikulu, Kamati Kuu Chadema Yakutana

KAMATII Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inakutana leo Jumamosi, Januari 13 ikiwa ni siku nne tangu Edward...

READ MORE

Picha za Matukio: Sherehe ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar

               

READ MORE

Makonda Ataja Kinachomfanya Kagame Aipende Tanzania

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amefunguka na kusema uwezo mkubwa wa Rais Magufuli na Demokrasia...

READ MORE

Shein Asema Uchumi wa Zanzibar Umeimarika, Atangaza Elimu Bure

Sherehe za mapinduzi  Shein atangaza elimu bure. Rais   wa Serikali ya Mapindizu ya Zanzibar  Dkt. Shein ametangaza kutoa elimu ya...

READ MORE

Taarifa ya Uchunguzi Kuhusu Umiliki wa Airtel Yawasilishwa kwa JPM

Serikali imesema ubinafsishaji wa Kampuni ya Airtel uligubikwa na ukiukwaji wa heria, Kanuni na Taratibu. Mazungumzo kufanyika ili nchi ipate...

READ MORE

Bavicha Washtushwa na Lowassa Kwenda Ikulu

BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo – Chadema (Bavicha) limesema limeshtushwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya...

READ MORE

Lowassa Akutana na Mbowe Kumpa Mrejesho wa Ikulu

  WAZIRI Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema), Edward Lowassa amekutana...

READ MORE

Mrisho Gambo Aanika Siri ya Lowassa Kuonana na JPM

  MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amefunguka na kuweka wazi kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na...

READ MORE

Breaking: JPM Amteua Katibu Mkuu Ikulu Kuwa Balozi

Rais Magufuli amemteua Alphayo Kidata kuwa Balozi. Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi...

READ MORE

Pichaz na Video: Rais Magufuli Alivyokutana na Lowassa Ikulu

IKULU: Rais Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa ambaye amempongeza Rais kwa kazi nzuri...

READ MORE

Breaking News: JPM Akutana na Kufanya Mazungumzo na Lowassa, Ikulu – Video-

Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumanne, Januari 9, 2018 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward...

READ MORE

JPM Abaini Madudu Tena Bandarini, Ateua Kamishna wa Madini – Video

RAIS Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Shukrani Elisha Manya Mhadhiri wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) kuwa Kamishna...

READ MORE

JPM Aanika Madudu Zaidi Wizara ya Madini – Video

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameanika madudu mengine ya Wizara ya Madini akisema...

READ MORE

IKULU: Rais Magufuli Amuapisha Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameamuapisha Mhe. Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini, Ikulu Jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Rais Magufuli Alivyomtembelea Kingunge (Video + Picha)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemjulia hali mwanasiasa mkongwe Mzee Kingunge Ngambale Mwiru aliyelazwa...

READ MORE

Breaking News: Rais Magufuli Ateua Naibu Waziri wa Madini Mpya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli amemteua Mhe. Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini....

READ MORE

JPM: Niliyoyafanya kwa Babu Seya na Wenzake Siyo Mimi!

RAIS Dkt. John Pombe Magufuli amesema kitendo kilichofanyika cha kutoa msamaha kwa wafungwa 8,158, ikiwemo familia ya Nguza Viking siyo...

READ MORE

Ujumbe wa JPM Mwaka Mpya 2018

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amewatakia watanzania wote hjeri ya mwaka mpya 2018, huku...

READ MORE

Rais Magufuli Atoa Kauli kwa Kamati ya Kuhakiki Mali za CCM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe...

READ MORE

JPM Awasilisha Fomu Zake za Rasilimali na Madeni ya Viongozi – Video

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amewasilisha fomu zake za Tamko la Rasilimali na Madeni kwa Viongozi wa Umma kwa Kamishna...

READ MORE

Ikulu Haina Taarifa ya JPM Kushinda Tuzo ya Mandela

IKIWA ni siku moja baada ya taarifa kusambaa mitandaoni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe...

READ MORE

Rais Magufuli Atunukiwa Tuzo ya Amani Sauzi

Johannesburg, Afrika Kusini: Rais John Magufuli ametunukiwa tuzo ya amani ya Mandela (Mandela Peace Prize) kwa kuendeleza shughuli ya kulinda...

READ MORE

CUF ya Lipumba Kumvua Uanachama Mtatiro

MWENYEKITI wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF) upande wa Katibu Mkuu wa chama hicho Maalim Seif, Julius...

READ MORE

Sikukuu ya X-Mass… Neno la Rais Magufuli kwa Watanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kuwatakia heri Watanzania wote katika kusherehekea siku...

READ MORE

Aliyetajwa na JPM Kukamatwa na Mabilioni Airport, Afikishwa Mahakamani

IKIWA ni takribani siku 9 baada ya Rais Dkt. John Magufuli kubainisha kukamatwa kwa mtu aliyekuwa akiingiza nchini kiasi kikubwa...

READ MORE

Baada ya JPM Kuchokonoa, TTCL Waanika Mazito ya Airtel

  KUFUATIA Rais Dkt. John Magufuli kueleza jana Mjini Dodoma kuwa Serikali imebaini kwamba Kampuni ya Mawasiliano ya Airtel ni...

READ MORE