×

Tag: Magufuli

Rais Magufuli Afanya Uteuzi Mwingine Ikulu

Rais Magufuli amteua Alphayo Kidata kuwa Katibu Mkuu, Ikulu. Kidata anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Peter Ilomo ambaye amestaafu.

READ MORE

VIDEO: Rais Magufuli Anasa Makontena 10 ya Magari Bandarini

Rais Magufuli alivyowasili bandarini leo wakati alipofanya ziara ya kushtukiza. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John...

READ MORE

VIDEO: Mkutano wa Nape Wajaa Figisu, Aongelea Barabarani, Apongeza Uamuzi wa Rais Magufuli

KUFUATIA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli leo kutengua uteuzi wa Waziri  wa Habari, Sanaa, Utamaduni...

READ MORE

Siku Tano za Mwisho za Nape Nnauye Ofisini!

MAKALA NA OJUKU OBRAHAM | GLOBAL PUBLISHERS NAPE Nnauye, leo ameondolewa kwenye nafasi yake ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa...

READ MORE

Breaking News: Nape Aondolewa Kwenye Uwaziri wa Habari, Nafasi Yake Yachukuliwa na Dkt. Mwakyembe

IKULU: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko madogo kwenye Baraza lake la Mawaziri leo...

READ MORE

Rais Magufuli: Sipangiwi Kazi… Makonda Chapa Kazi… Usitishike na Mambo ya Mitandaoni (VIDEO)

Rais John Magufuli amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuendelea kuchapa kazi na kwamba yeye hafanyii...

READ MORE

VIDEO: Rais Magufuli Azindua Rasmi Ujenzi wa Flyover ya Ubungo Dar

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amezindua rasmi Ujenzi wa Mradi wa Barabara ya Juu...

READ MORE

Jukwaa la Katiba: Magufuli Rejesha Mchakato wa Katiba Mpya

JUKWAA la Katiba Nchini limemwomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuurejesha Mchakato wa Katiba...

READ MORE

Mbasha Afichua JPM Alivyomfanyia ya Diamond

Na ERIC EVARIST| RISASI JUMAMOSI| HABARI DAR ES SALAAM: Hii ilikuwa stori lakini haikuandikwa! Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Bongo,...

READ MORE

Makonda: Rais Magufuli Atazindua Ujenzi wa Fly-Over Ubungo, Jumatatu (VIDEO)

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amefanya mkutano na waandishi wa habari na wakazi wa Jiji la...

READ MORE

Rais Magufuli Amelikubali Ombi la Kenya la Kuwapa Madaktari 500 Kuisaidia Huduma za Kitabibu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Afya kutoka...

READ MORE

Magufuli Afuta Agizo Vyeti vya Kuzaliwa la Mwakyembe

RAIS John  Magufuli amefuta agizo la Waziri wa Sheria na Katiba, Dk. Harrison Mwakyembe, alilolitoa jana lililotaka wanandoa za kimila...

READ MORE

‘Panga’ la Magufuli Latua Ofisi ya Waziri Mkuu, Katibu Mkuu Atenguliwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli atengua uteuzi na kumsimamisha kazi Katibu Mkuu, Ofisi ya...

READ MORE

Rais Magufuli Apiga Simu Clouds Ampongeza Diamond

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Magufuli, amepiga simu kwenye kituo cha runinga cha Clouds...

READ MORE

Hii ni Simulizi ya Maisha ya Godbless Lema Gerezani Miezi 4, Alivyopewa Cheo cha Nyapara Kuwaongoza Wafungwa

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) ameibuka na kueleza mambo mbalimbali, aliyokumbana nayo katika kipindi cha miezi minne akiwa...

READ MORE

Rais Magufuli Azindua Uwanja wa Ndegevita, Kambi ya Ngerengere Morogoro

Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt John Pombe Magufuli na Balozi wa China nchini Dkt. Lu Youqing wakifunua kitambaa kuashiria...

READ MORE

Rais Magufuli Amtumbua Mtendaji Mkuu wa Shirika la Elimu Kibaha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Magufuli ametengua Rasmi nafasi ya Mtendaji Mkuu wa shirika la...

READ MORE

Sentensi 5 za Rais Magufuli Akiwa Mtwara Leo

RAIS wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania, DKt. John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi ujenzi wa gati bandari ya Mtwara,...

READ MORE

Lindi: Rais Magufuli Aagiza Mkandarasi Anyang’anywe Pasi ya Kusafiria

LINDI: Akiendelea na ziara yake mkoani Lindi, Rais Dkt Magufuli leo amekagua miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani humo na kutoa...

READ MORE

Sentensi ya Ridhiwani Kikwete Baada ya Mama Yake Kuteuliwa na JPM Kuwa Mbunge

Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani Ridhiwan Kikwete amefunguka baada ya mama yake jana kuteuliwa na Rais Magufili kuwa...

READ MORE

Rais Magufuli Aanza Ziara Katika Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Mhe. Dkt.  John Pombe Magufuli, leo tarehe 02 Machi, 2017 ameanza ziara ya...

READ MORE

Hivi Ndivyo Rais Magufuli, Mkapa Walivyoshiriki Ibada ya Jumatano ya Majivu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika Ibada ya Jumatano ya Majivu pamoja na...

READ MORE

IKULU Yakanusha Taarifa FEKI Inayosambazwa Mitandaoni Kuhusu Rais Magufuli

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa ametahadharisha umma kuhusu habari hii bandia inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii. Msigwa ameandika...

READ MORE

Rais Magufuli Akutana na Kufanya Mazungumzo na Wageni Mbalimbali Ikulu Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo...

READ MORE

VIDEO: Kwaya ya Gwajima Sentro Yamchefua Rais Magufuli, Atoa Tamko kwa Polisi

Rais Magufuli Wanakwaya wa Gwajima Gwajima siku aliporipoti polisi kuhojiwa Siku moja baada ya Askofu Gwajima kuachiliwa kwa dhamana kutoka...

READ MORE

Waziri Mkuu, Mawaziri Kuongoza Mapambano Dawa Za Kulevya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimvalisha cheo kipya aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Uhamiaji...

READ MORE

Rais Magufuli Awapangia Vituo vya Kazi Mabalozi Watatu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amewapangia vituo vya kazi Mabalozi wapya watatu ambao...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Ziara ya Kushtukiza Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipofanya ziara ya kustukiza katika uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Rais Magufuli Apokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi wa Nchi Sita

Rais Magufuli apokea hati za utambulisho ya Balozi wa Saudi Arabia Mohamed Mansour Al Malek. Rais Magufuli apokea hati za...

READ MORE

Video: Rais Magufuli Alivyopigilia Msumari Kuhusu Sakata la ‘Unga’

DAR ES SALAAM: Sakata la Madawa ya Kulevya limezidi kuchukua sura mpya kila baada Rais John Pombe Magufuli ‘kupighilia msumali...

READ MORE

Rais Magufuli Apigilia Msumari Vita ya Makonda Dhidi ya Watumiaji na Wauzaji wa Dawa za Kulevya

DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kujitosa kwenye vita ya...

READ MORE

Rais Magufuli Awaapisha Mkuu wa Majeshi, Kamishna wa Magereza, Mnadhimu Mkuu na Mabalozi

DAR ES SALAAM: AMRI Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo amewaapisha...

READ MORE

Breaking News: Rais Magufuli Amteua Mkuu Mpya wa Majeshi Tanzania Kuchukua Nafasi ya Mwamunyange

  Kwa stori zote kali, Tu-follow Facebook @Globalpublishers Twitter @GlobalHabari Instagram @GlobalPublishers YouTube @GlobalTVTZ   Shinda Nyumba Awamu ya Pili...

READ MORE

Video: Mjane Amwaga Machozi Mbele ya Rais Magufuli Akidai Kudhulumiwa Mirathi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsikiliza mwananchi, Bi. Sobha Mohamed, aliyejitokeza kueleza kero...

READ MORE

Yaliyojili Kwenye Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Sheria Nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Majaji wa...

READ MORE

Rais Magufuli Awasili Nchini Akitoke Addis Ababa Kwenye Mkutano wa AU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Rais Magufuli Akutana na Kufanya Mazungumzo na Katibu UN, Ahudhuria Mkutano wa AU, Addis Ababa

      Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Marais wa wa mataifa mbalimbali  katika...

READ MORE