Live Ikulu: Zuhura Yunus na Mawaziri Wanazungumzia Matokeo ya Royal Tour ya Rais Samia-Video
MKURUGENZI wa Mawasiliano Ikulu nchini Tanzania , Zuhura Yunus, leo Juni 28, 2022 amezungumza na wanahabari kuhusu ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini Oman pamoja na matokeo ya Filamu ya The…
