The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

mikasa

TIMBWILI LAIBUKA KANISA KATOLIKI

HALI ya utulivu bado ni tete kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Mikaeli, Kawe, jijini Dar es Salaam, baada ya hivi karibuni waumini kuzua timbwili zito, Risasi linakuhabarisha.  Chanzo kiliwaambia waandishi wetu kuwa vurugu za…

Tendo la Ndoa Lazua Tafrani Bakwata

NDOA usiichukulie poa ina sarakasi nyingi; kama hii ya mke na mume kufikishana Baraza la Waislam Tanzania (Bakwata) Wilaya ya Temeke huku tendo la ndoa likitajwa kuwagombanisha.  Maulidi Hatibu (38) na mkewe, Shani Kitwana (33), wakazi…

Mama aua mwanaye kwa kipigo

INASIKITISHA! Mama mzazi wa Salome Pius Kahela (13) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Iyela, Mbeya; Anipha Zambi mkazi wa Mtaa wa Iyela 0ne Kata ya Iyela, anadaiwa kumuua mwanaye huyo kwa kipigo. Habari…

NYUMBA YA URITHI YAZUA BALAA

MSONDO Ngoma Music Band waliona mbali walipotoa wimbo wa Kilio cha Mtu Mzima, ambapo mashairi yake yanasema hivi:  “Tunatoana roho Yarabiii, kwa mali alizoacha baaba…” Na kweli nyumba ya urithi imezua balaa jijini Dar es Salaam ambapo…

MAITI YACHUNWA NGOZI MOCHWARI

SISI hatuhusiki waulizeni wale! Ndivyo Jeshi la Polisi mkoani Singida na uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wanavyotupiana mpira kutoa taarifa sahihi juu ya malalamiko ya baadhi ya ndugu wa marehemu, Amosi Mbua Muve wanaodai kuwa…

Paka wa Ajabu Azua Tafrani Mjumbe

UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya firauni! Paka wa ajabu amezua taharuki si ya nchi hii nyumbani kwa mjumbe wa nyumba kumi.  Ndiyo; ni kwa mjumbe wa Mtaa wa Masewe, Kata ya Ilemi mkoani Mbeya, Hance Hezron Mwajoka, Risasi Mchanganyiko…

Watoto Watoweka, Wakutwa Wamekufa

TUKIO la hivi karibuni lililoibua hofu kubwa ni la watoto wawili wa familia mbili wa Kijiji cha Nyamhela, Kata ya Mhongolo, Halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga, Hilda Deus (10) na Doroth Johanes (6) kutoweka kisha kukutwa…

 Mtoto Ajinyonga Akisonga Ugali

MTOTO aliyejulikana kwa jina la Maria Saidi Mtengwa (16) mkazi wa Salasala jijini Dar amekatisha uhai wake kwa kujinyonga kikatili wakati akiandaa chakula cha mchana huku chanzo kikiwa hakijulikani. Tukio hilo lilitokea…

ANASWA WIZI WA MTOTO MCHANGA

AIBU! Mwanamke mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, Mkazi wa Urambo mkoani Tabora amenaswa kwa wizi wa mtoto mchanga.  Tujiunge na mama Akizungumza na Risasi Mchanganyiko kwa majonzi, mama wa mtoto, Salome Sindigu alisema…

MADAKTARI WAKWAA SKENDO

HUJAFA hujaumbika ni msemo wa Kiswahili wenye tafsiri ya maisha ya kiumbe na maumbile yake halisi aliyoumbwa na Mwenyezi Mungu na baadaye kuishi duniani kwa kadiri Mungu alivyomkadiria maisha yake. Unaweza kuzaliwa ukiwa na viungo…

MWANAKWAYA AMUUA MWANAKWAYA MWENZAKE

KABLA tukio la kusikitisha la Naomi Marijani, mkazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam, kudaiwa kuuawa na mumewe kisha mwili wake kuchomwa moto halijapoa, Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limetoa tuhuma mpya kwamba mwanakwaya mmoja, mkazi…

SANGOMA MASHAROBARO WATIKISA

DAR ES SALAAM: VIJANA watano waliotajwa kuwa ni waganga wa kienyeji ‘sangoma’ tena masharobaro wameutikisa mji wa Morogoro baada ya kudaiwa kutoa mapembe (majini au uchawi) kwenye nyumba za watu, Amani lina habari nzima.  Mkazi mmoja wa…

MAMA ALALA NA NYOKA SIKU 14

MAMA mmoja aliyefahamika kwa jina la Asha Mohammed mkazi wa Boko Chama jijini Dar amejikuta katika mateso mazito kufuatia kupooza miguu na masikio yake kutosikia ambapo katika harakati za kutibiwa alijikuta akilazwa na nyoka chumbani…

MWANAMKE MBARONI MAUAJI YA MJESHI!

KIMEWAKA ile mbaya! Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limefanya msako mkali kisha kuwatia mbaroni watuhumiwa kadhaa akiwepo mwanamke mmoja kwa tuhuma za mauaji ya mwanajeshi au mjeshi, Gazeti la Ijumaa Wikienda lina kisa na mkasa.  Jeshi…

MSANII APIGWA MIMBA YATOKA

DAR ES SALAAM: MAMBO mengine yanatafakarisha! Hivi inawezekanaje umkataze mtu atukane halafu ageuke mbogo na baadaye kukushushia kipigo hadi ujauzito uharibike? Amani limepokea kisa hiki na linakupakulia.  Msanii wa filamu…