Ewura Yataja Chanzo cha Mlipuko wa Gesi Moro
Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji, Titus Gaguo amebainisha chanzo cha mlipuko wa gesi uliotokea jana Msamvu na kusababisha majeraha kwa watu watano wakiwemo wanahabari wa StarTV, Abood, Imani FM na…