Ndemla, Ame Watoa Neno Mtibwa Sugar
BAADA ya kukamilisha usajili wao wa mkopo wa kujiunga na Mtibwa Sugar, Said Ndemla na Ibrahim Ame wametamba kuifanya klabu hiyo kuleta ushindani wa kweli katika Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu ujao.
Said Ndema ambaye ni kiungo…