The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

Paul Pogba

Pogba Kuikosa Chelsea Ligi Kuu

PAUL Pogba anatarajiwa kuendelea kuwa nje kwa zaidi ya muda ambao alitarajiwa kuwa angerejea kutokana na kuwa majeruhi. Taarifa hiyo inaweza kuwa siyo nzuri kwa mashabiki wa timu ya staa huyo, Manchester United, ambapo…

Pogba Ampasua Kichwa Solskjaer

KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, amefunguka kuwa staa wake Paul Pogba ataendelea kuwa nje, huku beki Eric Bailly huenda akarejea uwanjani. Leo Jumapili, Man United itakuwa ugenini ikicheza dhidi ya West…

Pogba Ashtua Kukutwa na Corona

KIUNGO Paul Pogba amewashtua wadau wengi wa soka baada ya kubainika kuwa na Virusi vya Corona huku Ligi Kuu ya England ikitarajiwa kuanza ndani ya wiki mbili zijazo. Kiungo huyo wa kati aliondolewa katika kikosi cha…

Pogba, Man U Mwisho Wao Umefika

MAISHA ya Paul Pogba ndani ya Manchester United ni kama yamefika mwisho na sasa kilichobaki ni pande hizo mbili kukubaliana juu ya kuachana. Hatua hiyo inaenda mbele zaidi ambapo hata wachezaji wenzake kikosini hapo wanaamini kuwa…

POGBA ANAKULA BATA DUBAI

BAADA ya msimu wa Ligi Kuu England kumalizika, staa wa Manchester United, Paul Pogba ameamua kwenda Dubai na mchumba wake, Maria Salaues na mtoto wao kula bata. Wawili hao walitupia picha kwenye Mtandao wa Instagram wakiwa…

POGBA: NAVUTIWA SANA NA BARCELONA

MAN United ina mtihani mgumu wa kukutana na Barcelona katika Ligi ya Mabingwa Ulaya lakini kiungo wao, Paul Pogba ametoa kauli inayohusu wapinzani wao hao. Pogba anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi kitakachocheza dhidi ya wababe hao wa…

UFARANSA YAIPIGA PERU, YAFUZU

TIMU ya taifa ya Ufaransa imefanikiwa kusonga Hatua ya 16 ya Kombe la Dunia ikiwa na mchezo mmoja mkononi baada ya kuifunga Peru bao 1-0, jana Alhamisi. Ufaransa ikiongozwa na mastaa kadhaa akiwemo Paul Pogba, ilipata…

Sikia Busara za Paul Pogba

PAUL Pogba bado anasubiriwa kuanza kufanya vitu vyake vilivyoifanya Manchester United ivunje rekodi ya dunia ili kumnasa msimu uliopita. Katika maisha yake Manchester United, Pogba alipitia raha na karaha. Utakumbuka kuwa katika…