Rais Putin: Kipaumbele cha Urusi Kwa Sasa ni Kudumisha Uhusiano zaidi na Nchi za Afrika
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kipaumbele cha Urusi kwa sasa ni kudumisha uhusiano zaidi na Nchi za Barani Afrika wakati huu ambapo Urusi inatafuta Washirika wapya kukabiliana na vikwazo vya kimataifa juu ya vita ya Ukraine na…
