The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

SERENGETI

Ni Yanga Princess na Evergreen

TIMU ya Yanga Princess itavaana na Evergreen kwenye Uwanja wa Karume leo Jumapili. Mchezo huo ni muhimu kwa timu zote kwa kuwa kila timu inahitaji pointi tatu ili ikae pazuri kwenye msimamo wa ligi hiyo. Evergreen wapo nafasi ya…

SERENGETI ILIVYOJITOA KATIKA JAMII

Kampuni ya Serengeti Breweries leo imefanya mkutano na wanahabari na kujadiliana mambo kadhaa. Akizungumza kwenye mkutano huo, Meneja Mawasiliano wa kampuni hiyo, Imani Lwinga amesema kupitia mpango wao wa IQ wamewataka wateja wao…

Yanga Yapigwa Bao 8-1

KIKOSI cha Yanga Princess leo kimepoteza kwa kuchapwa mabao 8-1 dhidi ya JKT Queens kwenye mchezo wa Ligi ya Wanawake Tanzania maarufu kama Serengeti Lite Women's Premier League. JKT Queens wanafanikiwa kuwafunga watani…

Ni Simba SC na Yanga leo Dar

NI kivumbi cha Simba Queens na Yanga Princess leo Jumapili kwenye Ligi Kuu ya Wanawake. Makocha wa timu hizo wametambiana kila mmoja kuondoka na ushindi katika mchezo huo utakaochezwa kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam,…