Kocha Mpya Simba Atua na Majembe Matatu ya Kazi
UNAAMBIWA mchakato wa kupitia wasifu wa kumpata Kocha Mkuu wa Simba atakayerithi mikoba ya Pablo Franco, umekamilika na kwamba, kocha ajaye muda si mrefu atatangazwa kikosini hapo.
Hadi kufikia jana, kulikuwa na makocha…
