The House of Favourite Newspapers
Browsing Tag

Tatizo la kuchelewa kupata ujauzito

Sababu 10 Maumivu ya Tumbo kwa Mjamzito

WAJAWAZITO wengi huugua wakati wakiwa na ujauzito. Zipo Sababu zinazofanya kutokea kwa maumivu ya tumbo wakati wa miezi mitatu ya kwanza ya mimba. Kuna matatizo mengi ambayo yanahusiana tu na mimba, hata hivyo ni muhimu kukumbuka…

Dalili Hatari kwa Wajawazito

Na DOKTA WA RISASI| MTANDAO|RISASI JUMAMOSI| MAKALA na Mitandao WAJAWAZITO wengi huugua wakati wakiwa na ujauzito. Zipo sababu zinazofanya kutokea kwa maumivu ya tumbo wakati wa miezi mitatu ya kwanza ya mimba.  Kuna matatizo…

Tatizo la kuchelewa kupata ujauzito-2

Juma lililopita tuliona jinsi tatizo hili linavyotokea na tuliligawa katika makundi manne, tukasema kundi moja ni kwa wanaume na tumeona vyanzo mbalimbali kwa wanaume na makundi matatu kwa wanawake.Matatizo kwa wanawake yapo katika makundi…

Tatizo la kuchelewa kupata ujauzito

Hii ni hali ambayo huwatokea watu walio katika malengo ya kupata mtoto lakini mwaka unapita wakitafuta bila mafanikio na wengine hutafuta zaidi ya mwaka hadi miaka wasifanikiwe. Tatizo hili pia huongeza idadi ya watu wanaohudhuria katika…