The House of Favourite Newspapers

TAHARUKI DAR! MAJENEZA YAPOTEA KIMAAJABU USIKU MNENE – VIDEO

Katika hali isiyo ya kawaida, Wezi wamevamia duka moja lililopo Mwananyamala mtaa wa Msisiri B Jijini Dar es salaam ,majira ya usiku wa manane na kuiba Majeneza mawili jambo lililozidisha hali ya sintofahamu kwa baadhi ya wakazi wa Dar. Hata hivyo Global tv imefanikiwa kufika eneo la tukio na kufanya mahojiano na baadhi ya wakazi wa eneo hilo pamoja na aliekuwa mtuhumiwa wa kwanza wa wizi wa majeneza hayo . fatilia video hii ili upate habari hii kiundani.

Comments are closed.