Takukuru Kuwafikisha Kortini Katibu Mkuu, Mhasibu CWT

Takukuru intafikisha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Katibu Mkuu Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Deus Seif na mweka hazina wa chama hicho, Abubakar Allawi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo Sh.13.9 milioni.

 Tecno


Toa comment