The House of Favourite Newspapers

Tamasha la Mziki Mnene Lawapagawisha Wakazi wa Mwananyamala Chini ya Vodacom Tanzania

001 Wasanii wa muziki wa Singeli wakionyesha vipaji vyao vya kusakata muziki huo kwenye tamasha lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania la Mziki Mnene katika viwanja vya CCM Mwijuma Mwananyamala jijini Dar es Salaam leo.

002
Mashabiki wa muziki wa Singeli wakishuhudia Msanii  Mallo  akifanya vitu vyake kwenye tamasha lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania la Mziki Mnene katika viwanja vya CCM Mwijuma Mwananyamala jijini Dar es Salaam leo.

003
Beki wa timu ya  soka ya veterani  Mango Garden, Hamis Ramadhani (kulia ) akimdhibiti mshambuliaji, Nicolaus  Benedict, kwenye pambano la kirafiki la Mziki mnene lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania kwenye viwanja vya Mango Garden, Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.

Comments are closed.