The House of Favourite Newspapers

Tanzia: Bi. Nuru Khalfan Kikwete, Amefariki Dunia Leo

Marehemu Bi. Nuru Khalfan Kikwete enzi za uhai wake

TANZIA: Bibi wa Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete, Bi. Nuru Khalfan Kikwete, amefariki leo asubuhi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa matibabu.

 

Ujumbe wa Ridhiwani Kikwete Mtandaoni

Kwa taarifa zaidi endelea kusoma Tovuti yetu.

Salum Milongo/GPL

Comments are closed.