The House of Favourite Newspapers

TANZIA: Kanali Fabian Massawe Afariki Dunia

0

Kanali Fabian Ignas Massawe amefariki leo, Jumatano Machi 10, 2021. Kanali Massawe aliwahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera ambapo aliteuliwa mwaka 2011 na kabla ya hapo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Muleba.

 

Vilevile, alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Karagwe ambapo alihamishiwa akitokea Kinondoni . Pia, Kanali Fabian Massawe aliwahi kuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Jitegemee mwaka 1986 hadi 2002.

Leave A Reply