The House of Favourite Newspapers

TANZIA: KLABU YA MAISHA BASEMENT WAPATA MSIBA MZITO

0
Aliyekuwa Meneja wa Matukio katika klabu ya Maisha Basement, Robert Mshale (kulia) enzi za uhai wake akiwa na Dogo Janja (kushoto).

UONGOZI wa E-Master Entertainment unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi  wa0 aliyekuwa Meneja wa Matukio katika klabu ya Maisha Basement, Robert Mshale @robertmshale .

 

Mtandao huu ulifanya mahojiano na Meneja wa burudani wa Maisha Basement, Hemed Kavu ‘HK’ alisema: “Robert alikuwa mzima kabisa wa afya kwa kumuangalia, sijui sasa kama alikuwa ana tatizo la kiafya lakini siku ya jana  alipolala kifo kikamkuta akiwa usingizini na wala hakuamka tena.

 

Mwili wa marehemu Robert umehifadhiwa katika Hospitali ya Lugalo, na msiba uko nyumbani kwa mama yake karibu na geti la kuingilia Chuo cha Aridhi jijini Dar.

Mungu alaze roho yake mahala pema peponi amen.

Leave A Reply