The House of Favourite Newspapers

Tanzia: Leticia Nyerere afariki dunia

1

BREAKINGNEWS3leticia nyerereLeticia Nyerere enzi za uhai wake.Leticia-Nyerere

Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Leticia Nyerere amefariki dunia katika hospitali ya Doctors Community iliyopo Lan ham, Maryland jana saa mbili usiku kwa saa za Afrika Mashariki..

Msiba upo DMV 9004 Brightlea Court, Lanham, MD 20706.

Leticia aliolewa kisha kutengana na mtoto wa Hayati Baba wa Taifa, Madaraka Nyerere mwaka 1996, ambapo walifanikiwa kupata watoto watatu.

Julai 27 2015, Leticia alitangaza kuihama CHADEMA na kurejea Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mungu ailaze roho ua Marehemu mahali pema peponi,
Amina.

1 Comment
  1. Alex kihongole says

    R.i.p dada yetu,polen wafiwa na taifa kwa ujumla.aaamen

Leave A Reply