The House of Favourite Newspapers

Tanzia: Mkuu wa Wilaya ya Njombe Afariki Dunia

0

tanziaAliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Njombe na Mtangazaji wa zamani wa Radio Tanzania (RTD), Bi. Sarah Dumba amefariki dunia ghafla jana usiku akiwa wilayani Njombe mkoani wa Njombe.

Kwa mujibu wa ndugu na jamaa wanaeleza marehemu alikuwa na tatizo  la shinikizo la damu na mipango ya mazishi inaendelea na taarifa za maziko zitatolewa hapo baadaye.

Leave A Reply