The House of Favourite Newspapers

Waziri mkuu, Majaliwa akutana na mawakala wa forodha na bandari.

0

IMGS9998Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dares salaam kuzungumza na wawakilishi wa Mawakala wa Forodha na Bandari Machi 21, 2016.

IMGS0023Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipekuwa baadhi ya nyaraka zinazoonyesha jinsi wizi wa fedha za serikali uliofanywa kwenye bandari ya Dar es salaam ukihusisha mabenki wakati akizungumza na Mawakala wa Forodha na Bandari kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam.

IMGS0013Baadhi ya Mawakala wa Forodha na Bandari wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salam Machi 21, 2016.

IMGS0026Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, (TRA), Alphayo Kidata akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali zilizozuka katika mkutano na Waziri Mkuu

 

Leave A Reply