The House of Favourite Newspapers

Madereva wakutana na Rais Kikwete, Dar

0

1-001Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ambaye pia ni mlezi wa Chama Cha Madereva akizungumza na baadhi ya madereva waliofika kwenye mkutano huo. Rais Kikwete kutatua kero zao zinazowakumba katika sekta yao.2.Madereva wakifuatilia mkutano huo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.-001Madereva wakifuatilia mkutano huo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.3.Taswira ya mkutano huo katika ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam.-001Mkutano huo katika ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam ukiendelea.4.Madereva waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza kwa makini,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukumbini hapo.-001Madereva waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza kwa makini, Rais Kikwete ukumbini hapo.5.Mmoja wa Viongozi wa Chama Cha Madereva (aliyesimama) akitoa mwongozo kwa madereva kabla ya kuanza kwa mkutano huo.-001Mmoja wa Viongozi wa Chama Cha Madereva (aliyesimama) akitoa mwongozo kwa madereva kabla ya kuanza kwa mkutano huo.
MAKONGORO (1)-001

Baadhi ya madereva wa wakiwa tayari wamewasili Ukumbi wa mikutano, Ubungo Plaza mahali ambapo mkutano huo utafanyika.
MAKONGORO (2)-001Baadhi ya madereva waliokwisha fika wakionekana kuteta jambo.MAKONGORO (3)-001Hali ilivyo sasa kabla na ya kuanza kwa mkutano huo.MAKONGORO (4)-001…Wakisubuiri kuanza kwa mkutano huo ili wamueleze Rais Kikwete kero zao.MAKONGORO (5)-001

Baadhi ya madereva wakiwa tayari wamewasili ukumbini hapo. 

Uongozi wa Chama Cha Wafanyakazi Madereva Tanzania (TADWU), leo wanakufanya mkutano na Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenye Ukumbi wa mikutano, Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam wakieelezea kero zinazowakabiri madereva na sekta nzima ya usafirishaji wa nchi kavu.

Picha zinaonesha taswira ya baadhi ya madereva wa mabasi na malori na viongozi wa serikali,  ukumbini hapo wakati wa mkutano huo, ambapo Rais Kikwete anatarajiwa kuzungumza kwenye mkutano huo.

PICHA NA DENIS MTIMA/GPL

Leave A Reply