The House of Favourite Newspapers

TCB Yatoa Msaada wa Saruji 100 Ya Ujenzi Wa Kituo Cha Polisi Kiburugwa

0
…Edward Mwoleka (kushoto), akikakabidhi msaada wa mifuko 100 ya saruji kwa Diwani wa kata ya Kiburugwa Mh. Fatuma Michael iliyotolewa na Benki ya Tanzania Commercial bank  kwaajili ya kuendeleza ujenzi wa kituo kipya cha polisi cha kata hiyo ikiwa ni utamaduni wa Benki hiyo kujitolea katika kusaidia jamii. hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam wengine pichani ni Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Gloria Mutta, Afisa wa TCB, Adam Lameck.
Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Gloria Mutta, (kulia) akikakabidhi msaada wa mifuko 100 ya saruji kwa Diwani wa kata ya Kiburugwa Mh. Fatuma Michael iliyotolewa na Benki ya Tanzania Commercial bank  kwaajili ya kuendeleza ujenzi wa kituo kipya cha polisi cha kata hiyo ikiwa ni utamaduni wa Benki hiyo kujitolea katika kusaidia jamii. hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam wengine pichani ni Meneja wa Benki ya Tanzania Commercial Bank (TCB) Tawi la Mbagala Edward Mwoleka, Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Temeke Betha Minga, Afisa wa TCB, Adam Lameck. Pamoja na Diwani wa kata ya Charambe.
Edward Mwoleka (kulia),  akikakabidhi msaada wa mifuko 100 ya Sarujikwa Mtendaji kata wa Kiburugwa Mustapha Nguyu iliyotolewa na Benki ya Tanzania Commercial bank.
Picha ya pamoja
Leave A Reply