The House of Favourite Newspapers

TECNO Kudumisha Upendo na Wateja Wake

0

KATIKA kusherekea msimu huu wa Sikukuu ya VALENTINES Kampuni ya simu pendwa TECNO yazindua promosheni kabambe, aidha promosheni hii itahusisha kwenda kupata chakula cha usiku katika hotel kubwa ya nyota tano SERENA HOTEL kwa mteja atakayenunua  TECNO Spark 5pro katika msimu huu wa Valentine.

Ni vipi unaweza kupata nafasi hiyo? Tembelea maduka yaTECNO jipatie TECNO Spark 5pro na mojakwamoja utakuwa umeingia katika droo, lakini vilevile kwa upande wa online unaweza kushiriki kwa kupost picha ya umpendae na kuisindikiza na ujumbe unaoashiria upendo kisha weka#letlovelead.

Akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi huo Meneja wa Mauzo, Mariam Mohamed amesema kwamba, “promosheni hii inalenga kuimarisha upendo na wateja wetu na kuwaonyesha ni kwanamnagani tunawajali na kuwathamini lakini pia kuwafanya watambue kama wao pia ni wanafamilia wa TECNO.

Spark 5pro ni simu yenye kioo kipana cha inch 6.6, Spark 5pro inakupa nafasi ya kuchukua picha kwa ukubwa zaidi kutokana na kuwa na wigo mpana wa kioo vilevile ina MP16 nyuma na selfie MP 8, memory kubwa GB64+GB3 RAM na betri yenye kudumu na chaji kwa muda mrefu mAh5000.

Tembelea https://www.tecno-mobile.com/tz/home/#/

Leave A Reply